Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

hili tangazo la serengeti ndio nimeliona sasa kweli kiboko,TANGAZO MTU UNATUMIA DARK COLOURS? hii kweli kali.
 
Nauliza hiviiiiiiiiiiiiiiii TBC hawana hata utaalamu wa kuweka magoli pale kwenye skreeni jamani. Aaaaaaaaaaaaah 4 bilaaaaaaaaaaaa jamani. Bado moja
 
Huyu kipa ni bure kabisaaaaaaaaaaaaaa
 
Kikwete " Lile goli la Kaka, litaonyeshwa dunia nzima ....." Kichapo kinaendela, sasa 4-0.
 
hili kipa lenu kusema kweli anatakiwa afukuzwe yeye na maximo kwa kumchagua.sijui kaliokota wapi.
 
Golikipa wa Tanzania ni bure kabisa; magoli mawili nilyoona ya mwisho yalikuwa ya kitoto kabisa
 
Hivi Maxcimo ktk miaka yote ya kukaa bongo, kipa aliyemuona ndiyo huyu?
 
Kwanza 411 nilizopata nikwamba hakuna umeme uwanjani..wanatumia generator na vyoo ni vichafu vya kufa mtu...mtu unalipa tsh 150,000 kwenda kuenjoy game matokeo yake ukakereka....whats up TFF mein you could do better than dat

daaayuuum 4-0...yaani nimetabiri tutafingw amore than 4 and ina happen i am good aiseee!
 
Wow...

Kituko cha mwaka! Mtu kakatiza katikati ya uwanja na kumshika mchezaji wa Brazil (Kaka)...

Wonderful, polisi wanampa kichapo, lakini kajiweka kwenye historia
BHangi Bahngi za vijana wetu..
 
T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?
 
hivi huwa hakuna substite ya kipa. magoli yote 4 kafungwa kama kasimama
 
mwalimu uwanja is only half full (or empty) na kama Brazil imeshindwa kuujaza huo uwanja sijui timu gani duniani inaweza kuujaza!!

jibu ni hakuna...zile viingilio unafikili mchezo?maana ukakope afu mwisho wa siku uishie gombana na jirani yako kisa brazil

nimesikitika sana sikuweza kumudu iyo bei ningeingia leo
 
T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?
post yetu ya JF watu wagomee imezidi nguvu matangazo ya clouds fm na tbc 1 lol
 
Back
Top Bottom