Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
wabongo wanawarembesha wakati wenzio wako serious..
BHangi Bahngi za vijana wetu..Wow...
Kituko cha mwaka! Mtu kakatiza katikati ya uwanja na kumshika mchezaji wa Brazil (Kaka)...
Wonderful, polisi wanampa kichapo, lakini kajiweka kwenye historia
mwalimu uwanja is only half full (or empty) na kama Brazil imeshindwa kuujaza huo uwanja sijui timu gani duniani inaweza kuujaza!!
post yetu ya JF watu wagomee imezidi nguvu matangazo ya clouds fm na tbc 1 lolT I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?