balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
No deal.Lakini bado bora hii kuliko Ile iliyopigwa kwao 7-1 na Germany
Kuna uwezekano tukapata bingwa mpya ambaye hajawahi kuwa bingwa.Mechi ya Leo itaamua Hilo.Messi analichukua hilo kombe
Tena bakola sita sita kila mmoja pumbavu kabsa wanacheza show game badala ya kutafuta matokeoNeymar na antony walistahili fimbo walifanya vitu vya kitoto vilivyoigarimu team na substitution ya vinicius haikustahili
Messi proved you wrong...Baadae Ni xamu ya Messi kuaga mashindano
Ameeen, yaani, NA IWE HIVYO!Tunguli linasema Morocco ndie bingwa wa dunia hii comment iwe kumbukumbu December 18.