Brazil wametolewa kihaki

Brazil wametolewa kihaki

ago49-su2xu.jpg
 
Neymar na antony walistahili fimbo walifanya vitu vya kitoto vilivyoigarimu team na substitution ya vinicius haikustahili
Tena bakola sita sita kila mmoja pumbavu kabsa wanacheza show game badala ya kutafuta matokeo
 
Brazil imejaa utoto, Neymar baada ya kufunga akawa hakabi, yule Antony sijui walimuita wa Nini alikuwa anapoteza mipira kijinga na Wala hakabi na lile goli limetokea kwake.
Sub alizofanya kocha baada ya goli zilifeli alitakiwa aendelee kushambulia.
 
Back
Top Bottom