Brazil yamtimua Kocha wa timu ya Taifa Carlos Caetano Bledorn Verri (Dunga)

Tatizo wanakumbatia wachezaji wanaocheza ulaya wanaacha wanaocheza mpira wa asili yao ligi ya nyumbani
 
Hahahaaa nilijua tu pink slip inakuja toka CBF.

Brasil wanapitia wakati mgumu sana kisoka sasa hivi.

Vipaji naona vipo, tena vingi tu. Tatizo ni commitment. Naona wachezaji wengi siku hizi ni mabrazameni tu.
Absolutely right...
 
Saafi, wapenzi wa brazuka huwa tunaumia sana mambo yakituendea kombo
 
Watanzania wengine bhana, sijui kukosa elimu ama ni nini? Hii habari ya hawa racism itatusaidia nini?
 
Dunia inabadilika sana, yaani sasa hivi brazil hata robo fainali wanaitafuta kwa tochi. ila naamini tutarudi tu.
 
Nasubir kwa ham joga bonito kurud..kocha aliye serious na kaz huwez kumuacha thiago silva,marcelo na roberto firmino bila sababu za msingi..





Dah....mkuu namiss sana brazil ambayo unapigiwa mwingi na unafungwa nyingi huku ukipewa viburudisho ya vitu vidogo vidogo uwanjani..sio huyo dunga mpira hajui kazi kukaba tu kisa alikuwa namba sita ndio maana romario miaka ya nyuma ameshawahi kusema kwenye kikosi chao dunga alikuwa hajui mpira alikuwa anafanya kazi ya kitumwa kukaba tu uwanjani
 
Halafu hii kuona argentina amepewa kitambaa messi na yeye amekariri kumpa brazameni neymar kitambaa.messi anapiga kazi ndio maana amepewa kitambaa neymar utoto unamsumbua kitambaa anapewa mtu ambae anafokea wachezaji uwanjani pale wanapofanya utoto timu inataka ushindi...kocha hajawahi kuwa na mafanikio yoyote kwenye career yake ya ukocha lakini naona mara ya pili walimpa tena nahisi kutakuwa na mtu anamuonga hela pale kwenye chama cha soka apewe kazi...mfumo mbovu plan B uwanjani hana mbona mastaa wengi brazil wamenistaafu halafu hawafanya kazi ya ukocha kile kipaji sio kila mtu anakuwa kocha sababu kacheza mpira.Pumbavu kabisa lidunga
 
Watanzania bana, brazil brazil, wakati wenyewe hawatujui tunaishi vipi hapa πŸ˜›πŸ˜›mbona mafans wa ajentina hawana mbwembwe nyingi kwenye timu yao, na ndio big team more than brazil, na soka lao ni tamu zaidi ya hawa racism wa njano?

Elimu bado inahitajika sana hapa kwetu
 
Umiseta imefutwa bila shaka umefurahi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…