daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Tatizo wanakumbatia wachezaji wanaocheza ulaya wanaacha wanaocheza mpira wa asili yao ligi ya nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely right...Hahahaaa nilijua tu pink slip inakuja toka CBF.
Brasil wanapitia wakati mgumu sana kisoka sasa hivi.
Vipaji naona vipo, tena vingi tu. Tatizo ni commitment. Naona wachezaji wengi siku hizi ni mabrazameni tu.
Nasubir kwa ham joga bonito kurud..kocha aliye serious na kaz huwez kumuacha thiago silva,marcelo na roberto firmino bila sababu za msingi..
Baada ya kupigwa 7 na ujerumani uliona scolari kaendelea na kazi ?
Hiyo ni maada nyingine mkuu .Hakuendelea,lakini kuna mabadiliko yoyote yaliyotokea baada ya Kufukuzwa Philippe Scolari?
Umiseta imefutwa bila shaka umefurahi .Watanzania bana, brazil brazil, wakati wenyewe hawatujui tunaishi vipi hapa 😛😛mbona mafans wa ajentina hawana mbwembwe nyingi kwenye timu yao, na ndio big team more than brazil, na soka lao ni tamu zaidi ya hawa racism wa njano?
Elimu bado inahitajika sana hapa kwetu
Umiseta imefutwa bila shaka umefurahi .