Brazuka kuinua vipaji wa soka la vijana Tanzania

Brazuka kuinua vipaji wa soka la vijana Tanzania

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Kuna tangazo huwa linasikika kwenye redio kwamba Brazuka wakishirikiana na academi moja huko Marekani watakuwa wakizunguka mikoani kwa ajili ya kusaka vipaji vya mpira kwa vijana.

Jinsi ya kushiriki ni kwa kujiunga kupitia mtandao wa simu ambapo utalipia TSH 10,000/= ndipo unatumiwa tiketi ya ushiriki.

Katika kipindi cha michezo, watangazaji pia walijazilizia nyama kwenye tangazo kwa kusema kuwa, vijana watakaobahatika watapelekwa katika academi huko Marekani ambayo inashirikiana na Brazuka.

Binafsi naona hiyo ni fursa kwa wazazi wenye watoto wapenda soka. Tutimize ndoto za vijana wetu!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ungeleta namna zote za kufanikisha kushiriki.
Au unataka na sisi tuwashe Redio tusubiri hilo Tangazo?
 
Pale vijana wanaenda kupigwa 10000 kila wilaya watakusanya watoto wangapi
 
Back
Top Bottom