Break down ya Mil. 27 kwa nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu

CEMENT BAGS 135@14,815. = 2,000,000/-
Hapa tumepigwa
 
Wabongo kutishana kuna MTU hapo kasema Tiles 7 million
 
Umeamua ujenge nyumba kwenye makaratasi?
Wengine wanafanya biashara kwenye makaratasi wengine wanajenga kwenye makaratasi.
Kweli Bongotunacheza@
 
Maoni yangu,
•Electrical installation kwa 1m ni ndogo, hsitoshi materials na ufundi.
•Plumbing system kwa 500k pia mahesabu yapo chini sana, hasa kama ni hadi finishing.
• 135 bags za cement hadi plastering haitoshi.

Japo mchanganuo umeleta picha nzuri
 
Kua gharama nyingi ndogo ndogo hujapigia hesabu.

Ila inawezekana 27 itakuwa imekuvuta vuta, pambana site simama mwenye, tafuta fundi saafi kabisa, wauzie kazi, tofali za msingi 200 hivi, juu ya linta 300 kati 250. Hutotumia hela hiyo ya fundi mmoja..
Plasta uza kazi, itakusaidia japo ni kama vile tunakuwa tunabana riziqi za watu, nasi ndio hivyo tunajitahidi tuhame vinanda vya makuti.
 
Mchanganuo mzuri, Ila gharama za ufundi milioni 3 kwa kila kitu uongo, hqpo nikipata picha tu kupaua na kujenga boma vipengele ni vingi

Ufundi kwa mil. 3 bado mahesabu hayakai, labda kama hiyo mil. 2 ya mengineyo itaingia hapo pia
 
Kwenye breakdown ni vyema utenge na kutofautisha material cost na labour charges kwny kila kitu hasa zege, tofali, na garama ya cement ikiwemo plaster kwa stages yaani kwa msingi, boma na umaliziaji usiwe general nenda stage moja mpk nyingine.
 
Hiyo hela inatosha, itategemea ukubwa wa vyumba na style ya nyumba yenyewe kama ina makonakona hiyo hela ni ndogo
 
Jitahidi angalau ufikishe milioni 40 mkuu, nje ya hapo utakuwa unatembelea site kila wiki bila kufanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…