Wewe njoo muulizie muhudumu anaitwa DIANA mambo yako yatakuwa mswano......ukiita baba enock wanaweza kuja watu kumi
mentor mbona imekuuma mzee? Au ulikuwa na kimada pale?
hakuna bwana, nilijua tu, isingeweza kukupain kiasi hicho, fanya mpango tukapasake penye wa ukweli zaidi ya pale, tutapazoea tu.Haha, for one namjua mshkaji mwenye hiyo kitu halafu fununu za kwa nini pamefungwa ndo kilichoniuma zaidi.Pili, kina dada nanii ndoyo ni marafiki zangu...au kuna shida!?? (conflict of interest!??)
mkuu calabash ipo mitaa ipi nipate kujitosa kwani naisikia hewaniNjoo CALABASH kijiwe cha wana JF.....Utatukuta na baba_enoch
Mkuu, maelezo yooote hapo juu (posting za awali), hujapajua tu? Waishi wapi weyeee?mkuu calabash ipo mitaa ipi nipate kujitosa kwani naisikia hewani