Break up!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mi huwa inachukua hadi mwaka, ila kuchapa huwa wapo tu. Wa kumweka moyoni ndo huwa nipo very selective
 
kwani tairi la gari likipata pancha polini na wewe unaspear tairi huwa inachukua muda gani kubadilisha? si half an hour tu!
 
mkuu kumbe na ww unapitiaga hapo EATv maana comments za hio post ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…