Kwanini. . .. ?
Kila siku ku break-up,ebu siku moja kuwe na topic ya ku make-up,itasaidia sana watu wengi kutengeneza pale palipoharibika kwenye mahusiano yao!AND mind u hakuna kisicho-expire,BUT Lucky enough mahusiano yana nafasi ya kuboreshwa,JITUME kuboresha ulicho nacho for ur betterment coz hakuna kijitoshelezacho.
GOD BLESS YOU and START NOW
Hii hua ni mbaya sana ila km unakua ni mtu wa kumsoma mtu wako vizuri hata changes utazigundua tu,Na hapo ndo panaponitatiza mie Canta.
Yani mwenzio ukute hata kashapata pakwenda baada yako au hata alishahamia ila wewe anakuweka akidhani anakusaidia kumbe anakupotezea muda wako na nafasi kwa watu wengine wanaohitaji/taka kuwa na wewe.
Nimekusoma. .kwa sababu anayekuacha anakuwa anauma na kupuliza hivyo japo unapoozwa bado unaumia kwa muda mrefu tu ukitumainia labda siku moja maumivu yataisha...ni sawa na kunywa vidongo vichungu kwa muda mrefu badala ya kuchomwa sindano kali kwa muda mfupi yaishe...
Konnie mbona umekuwa mkali?No matter how, kuachwa na umpendaye ni kuachwa tu.
Hakuna njia rahisi, wewe unayetaka kuacha fanya upendavyo.
Haipunguzi maumivu.
Hii hua ni mbaya sana ila km unakua ni mtu wa kumsoma mtu wako vizuri hata changes utazigundua tu,
Ila kwa namna tulivoumbwa sie wanawake hua tunachelewa kugundua hasa unapokua umependa na vinavooumiza ni vile visa hapokei simu,kila mara anakukwepa,anajidai amekua bize siku hizi,msg hajibu kwa wakati
km huna ufahamu wa kutosha na kuanza kufanya utafiti badala yake ndio unaishia kulia na kusononeka wakati wote kwa mda mrefu na mwisho wa siku hata mkikutana hamsalimiani,
Bora kuambiana mapema tu kwa kweli na km akili zilishakomaa kinachofata ni kukubali matokeo na kusonga mbele!
Ila hapa napo inabidi kumsoma na mtu mwenyewe maana kuna wanaume wengine pia hawako strong anaweza maliza hasira kwa kukudunda!!!
Namna yoyote ile ya kumuacha mtu anayekupenda inaumiza, iwe ya papo kwa hapo au ya kuchukua mwaka mzima. Kitu kikubwa kinachomuumiza muachwaji mara nyingi ni regrets anazokuwa nazo kama;Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!
Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
kwa lipi alilonalo rejao? huo upara au mimacho? nenda kwa handsome TF!Hahhah hahha hahah,
Bishanga alimwaga mwingine ndio Rejao akachuku kifaa!!!
Tena nilimwambia tulikaa tukajadili na kufikia muafaka na kuachana kwa amani na Rejao akamiliki.
mmeanza we na chuchu wako huyo...kha mnakera!Elezea basi zaidi. . . . . . !!!
Hahahaha. . .unatoa waraka wa kuachana unaambulia kipigo bila maelezo. . .kesho unarudi mwenyewe!!
Lizzy ....you are special! Heri yake atakayekuoa!Hataaaaaa!!
Wengine hua tunasubiri anaetoka atoke, kudekiwe, vyakufuliwa vifuliwe, vyakuoshwa vioshwe, hewa safi iingine, air freshner ipulizwe alafu ndo mgeni mwingine akaribishwe!!!
Super,katika tasnia ya media wanasema......'dog bite man no story,man bite dog big story'. Usicheze na story za heartbreak.Kila siku ku break-up,ebu siku moja kuwe na topic ya ku make-up,itasaidia sana watu wengi kutengeneza pale palipoharibika kwenye mahusiano yao!AND mind u hakuna kisicho-expire,BUT Lucky enough mahusiano yana nafasi ya kuboreshwa,JITUME kuboresha ulicho nacho for ur betterment coz hakuna kijitoshelezacho.
GOD BLESS YOU and START NOW
Hahhah hahha hahha,kwa lipi alilonalo rejao? huo upara au mimacho? nenda kwa handsome TF!
i see... baby upo?I see.....
mmeanza we na chuchu wako huyo...kha mnakera!