Yap...mashallah naona umebadilika mwendo wa nyekundu nyekundu sasa hiviDuh!umetisha swaiba,
So umrudi full mass nondo au?
Wa Tz ni mabingwa wa kujifanyisha na hatutambui kama Dunia ya sasa ni ya uwazi na ukweli. Mimi nikishachukua maamuzi ya kukumwaga nakupa live bila kupoteza muda, tena huku nakutazama usoni, sijui kujifanyisha kupenda, ukinywa sumu hutakuwa mtu wa kwanza kufa hapa Duniani. Isitoshe nimeshafiwa na watu wengi wa karibu kuliko wewe. Huu ni wakati wa kuita jembe, jembe, siyo kuita jembe kifaa cha kulimia.
Chezeiya Rejao wewe,Yap...mashallah naona umebadilika mwendo wa nyekundu nyekundu sasa hivi
Yap, that's the truthZote ni sehemu ya maisha. . .la muhimu tukubali yakitokea yakutokea.
That doesn't happen very often though. . .SADLY!!
Some people are vagueMy two cents' worth...
Getting jilted is a tough proposition, either way.
The only relief I see is when the decision is mutual.
Some people are vague
Mie nadhan tatizo ile watu kutokuaweka wazi dhumun hasa la relation yenyewe na hii inatokea pale watu wala hawajajuana vizuri tayari wanapeana ahadi za ajabu wakishajuana na mmoja kugundua kabugi step ndio hayo mambo ya kujinyonga sijui kunywa sumu yanaanziaga hapo!Na kweli haya mambo ya kunywa sumu hua tunaendekeza wenyewe. Nadhani watu wangekua wanaonyesha msimamo wa kweli hivyo vitisho visingetumika kuwekana ndani bila ya hiari.
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!
Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
Yes, exactlyAnd the operative word there is "some".....
Mie nadhan tatizo ile watu kutokuaweka wazi dhumun hasa la relation yenyewe na hii inatokea pale watu wala hawajajuana vizuri tayari wanapeana ahadi za ajabu wakishajuana na mmoja kugundua kabugi step ndio hayo mambo ya kujinyonga sijui kunywa sumu yanaanziaga hapo!