Break up. . .

Break up. . .

Mie nadhani niambiwe tu FL mapenzi yameisha nahamia mtaa mwingine Be Honest,nitaumia lakini mwisho wa siku uhalisia utabakia hakuna mapenzi tena sio uanze visa mala home huonekani
Mala kununa kusiko na msingi kidogo tu hasira,ukipinduka huku kasheshe ,,
Ni nini kukoseshana amani hapa duniani ..
 
Wee ita tu mkwe jamaa ameishachukua mtu mwingine...STUKA...lol

Hahahahaha. . . acha unoko wewe. . .achukuliwe, achukuliwe na nani?

mkwe. . .
Mzima kabisa mkwe, sijui wewe.

Mi niko na wewe bana. . .sio mtu anakuacha unajifanya mjinga kwa hiari.
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana kwamba leo umeouona ukweli kuwa si kila kitu lazima kisemwe kama kilivyo,...indicating kwamba kuna mazingira mtu analazimika kutumia uongo mtakatifu ili kupunguza maumivu kwa wengine!!

Babu DC!!

Babu kukubali na kutendea kazi makubaliano ni tofauti ujue. Mi bado ni mmoja wa wale wanaotoa ule uwongo unaouma. . .hua nashindwa kujizuia kusema kile nikionacho vile nikionacho.

Hahahahaha. . .sasa asilimia ngapi umeacha kwaajili ya kinga?
 
Hahahahaha. . . acha unoko wewe. . .achukuliwe, achukuliwe na nani?

mkwe. . .
Mzima kabisa mkwe, sijui wewe.

Mi niko na wewe bana. . .sio mtu anakuacha unajifanya mjinga kwa hiari.
lizzy pls,
pls lizzy
swith me on.
 
Good idea ni kuambiwa ukweli. Atakwambiaje nafikiri ni uamuzi wake kuchagua whether kukuzimia simu, kuhama nyumba bila kukwambia, ukipiga simu hapokei, ukituma sms hajibu, ukienda ofisini walinzi wanakurudishia mlangoni haya we.

Kikubwa hapa ni kusoma alama za nyakati. yale mambo mliyopenda kufanya kwa muda mrefu yakipungua % 99.5, kula kona.
 
Babu kukubali na kutendea kazi makubaliano ni tofauti ujue. Mi bado ni mmoja wa wale wanaotoa ule uwongo unaouma. . .hua nashindwa kujizuia kusema kile nikionacho vile nikionacho.

Hahahahaha. . .sasa asilimia ngapi umeacha kwaajili ya kinga?

Zipo nyingi tu za kutosha, ili likitokea lisilotegemewa babu wa watu asiumbuke!!

Babu DC!!
 
Good idea ni kuambiwa ukweli. Atakwambiaje nafikiri ni uamuzi wake kuchagua whether kukuzimia simu, kuhama nyumba bila kukwambia, ukipiga simu hapokei, ukituma sms hajibu, ukienda ofisini walinzi wanakurudishia mlangoni haya we.

Kikubwa hapa ni kusoma alama za nyakati. yale mambo mliyopenda kufanya kwa muda mrefu yakipungua % 99.5, kula kona.

Ni kweli Caroline Danzi
Hali kama hii ilimkuta rafiki yangu miezi mitatu iliyopita
alizimiwa simu kukawa hakuna mawasiliano yoyote ..mama watoto kafunga safari kwenda anapofanyia kazi ..kufika akazuiliwa getini..
Mwisho wa siku wii mtu anamwambia mama (..) kuwa na kifua mmeo kishaoa na hakuhitaji tena ..
 
Mi bado ni mmoja wa wale wanaotoa ule uwongo unaouma. . .hua nashindwa kujizuia kusema kile nikionacho vile nikionacho.

If someone told you that you are so ugly you make blind kids cry. Would that hurt your feelings? Would you be mad at them?
 
Dah! Hizi ishu ni ngumu, ziachane tu zilivyo:target:unaweza kupinduka na kuingia katika list ya kanumbaism
 
If someone told you that you are so ugly you make blind kids cry. Would that hurt your feelings? Would you be mad at them?

I'll just have to accept the fact that I am UGLY. I mean. . .kuchukia au kutokuchukia won't change anything right?
 
Good idea ni kuambiwa ukweli. Atakwambiaje nafikiri ni uamuzi wake kuchagua whether kukuzimia simu, kuhama nyumba bila kukwambia, ukipiga simu hapokei, ukituma sms hajibu, ukienda ofisini walinzi wanakurudishia mlangoni haya we.

Kikubwa hapa ni kusoma alama za nyakati. yale mambo mliyopenda kufanya kwa muda mrefu yakipungua % 99.5, kula kona.
Hii ya kuachwa kabisa kabisa bila ya kuambiwa umeachwa mimi sipendi hata kumfanyia mtu. Inaacha maswali mengi sana na inamkosesha mtu amani maana anakua hajui kinachoendelea kwa uhakika.
 
I'll just have to accept the fact that I am UGLY. I mean. . .kuchukia au kutokuchukia won't change anything right?

It may or it may not because context is everything.

If someone you love told you that and you don't get bothered (read: hurt) by it then definitely you don't have a heart.

But the point I'm trying to make is, brutal honesty doesn't always help. Tact and diplomacy are always better than just telling it like it is.
 
Hii ya kuachwa kabisa kabisa bila ya kuambiwa umeachwa mimi sipendi hata kumfanyia mtu. Inaacha maswali mengi sana na inamkosesha mtu amani maana anakua hajui kinachoendelea kwa uhakika.
mimi naikubli zaidi hiyo ya kimya kimya, mtu anakula kona tu without any piece of information
 
I wish. . .

CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.

@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
Una wish?
 
Last edited by a moderator:
mie naprefer kuachwa mara moja yaani muhusika akijisikia hanihitaji tena aende straight to the point kua hanitaki tena na anipe sababu! Ntaumia but ntampa baraka zote..sioni haja ya mtu kukungangania na wakti ameshakuchoka na hana future yoyote na wewe kwa sababu atazidi kukuumiza coz he/she doesn't care anymore! Ya nini kuzibiana riziki bana aniache imediately sio polepole mradi tu awe na sababu..
Mpendwa Purple,ukiamua kumpiga chini mwanamke si mara zote unakuwa na sababu,sa ingine ni umalaya tu,hivi unadhania bishanga atakuja kwako aseme "Purple tuachane kuna mwanamke nimempenda Unga ltd',utanielewa? Ninavyowajua mimi wanawake wa mjini we badala ya kuniacha si utazua valangati unga ltd? Au sivyo inavyokuwa?
 
Back
Top Bottom