Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Hapa kuna kitu sielewi,ina maana:Jaman smile hebu jiamin japo kidogo basi,hilo pande kanisakizia bishanga ndio nikamwabia TF ana wake!!
Ndio TF kaniomba nimlindie wewe!!
Soma vizuri utaelwa bana,
Mie Rejao ananitosha wala sitaki mwingine!
1.Smile kafa kaoza kwa TF?
2.Kwa hiyo Smile analia wivu kwa Canta?
Wahusika nipeni majibu ili nijipange namna ya kumwaga sumu.