Break up. . .

Break up. . .

Jaman smile hebu jiamin japo kidogo basi,hilo pande kanisakizia bishanga ndio nikamwabia TF ana wake!!
Ndio TF kaniomba nimlindie wewe!!
Soma vizuri utaelwa bana,
Mie Rejao ananitosha wala sitaki mwingine!
Hapa kuna kitu sielewi,ina maana:
1.Smile kafa kaoza kwa TF?
2.Kwa hiyo Smile analia wivu kwa Canta?
Wahusika nipeni majibu ili nijipange namna ya kumwaga sumu.
 
easily said than done.....na ogopa maneno ya kutamka in the heat of anger,mwenzio akifanya kweli wakati wewe ilikuwa ni hasira hapo utajibeba.Mimi huwa sifanyi hivyo hata siku moja,never.
Bishanga, ukijaribu ku-sugarcoat ndio unazidi kuharibu. Pia hapa nadhani tunaongea wakati ule wewe huna ham tena na mwenzio, you just want him/her out of your life.
Ukiendekeza kuogopa kumuumiza, then later agundue it has been a while since you did not want to continiue, not only yale maumivu ulitaka kuhepuka yatakuwepo, but kutakua na hasira juu. So the sooner the better, and just be honest about the reasons. Hakuna reason nzuri kama: I have stopped loving you.
 
Mama mia! Sisi huwa hatu stop loving you,huwa tuna subdivide penzi (which kina mama you hate),ndo mana hata baada ya kuachana siku moja moja huwa tunakuja tunachombeza.
 
Haya mambo ya kuchombeza ndo maana unashtaki kwa baba paroko kila siku.

Na ntakupiga kipepsi cha kwenye nanga.

Kabla hujanikill softly nitakuwa nimeshakukill hardly.

I will make you love me so hard hata nikirudi baada ya siku tatu utanipokea kwa bashasha...,,"pole mme wangu,za huko? '' na supu ya nguvu utaniandalie,na baadae ukiamua ku check oil utaambulia povu tu....kudadadadadeki.
 
Haya mambo ya kuchombeza ndo maana unashtaki kwa baba paroko kila siku.

Na ntakupiga kipepsi cha kwenye nanga.

Acha vitisho wewe,wanawake wa mjini ndivyo tunavyoishi nao.Usisahau hata baada ya so called 'kuachana' wakiwa nashida huwa tunakwenda front kuokoa jahazi,ushanfaham? hapa siongelei nadharia naongelea hali halisi ya mahusiano hapa bongo (actually ndomana wahenga walisema..'uhawara haufi'.
 
Bishanga

hii ni very praktikal kibongo bongo, hizi nadharia zingine hadi uishi abulodi.

Acha vitisho wewe,wanawake wa mjini ndivyo tunavyoishi nao.Usisahau hata baada ya so called 'kuachana' wakiwa nashida huwa tunakwenda front kuokoa jahazi,ushanfaham? hapa siongelei nadharia naongelea hali halisi ya mahusiano hapa bongo (actually ndomana wahenga walisema..'uhawara haufi'.
 
Last edited by a moderator:
hilo povu ntafulia nguo, tena ntatengeneza kiwanda cha sabuni.

I will make you love me so hard hata nikirudi baada ya siku tatu utanipokea kwa bashasha...,,"pole mme wangu,za huko? '' na supu ya nguvu utaniandalie,na baadae ukiamua ku check oil utaambulia povu tu....kudadadadadeki.
 
Hii thread imenigusa,juzi kati nilimdump girlfriend wangu coz niliona sina future nae so nikamchana live kuwa mm na yy its ova....dah akameza panadol 20 ilikuwa so,now nimeamua kumuacha taratibu....
 
Haya ndo nilikuwa nayasema watu wakawa wanabisha humu ndani,babaeleze bana,kumwacha mwanamke ni art bana.
 
Nitakuwa defferent kidogo,unasema kumuacha m2 with no genuine reason! Hapo ndio cpaelewi,sasa utawachoka wangapi au utaacha kuwapenda wangapi? Na mke/mume je ambae lets say ur bound with! Mi nafikiria wengi we2 hatupendi bali tunatamani! Ukitamani oviously ukipata unachokitamani utakizoeya na kukichoka bt ukipenda ni ngumu kumchoka m2! Sasa nakuomba ufikiri kwanini unataka kumuacha m2 ambae at 1st uliona wampenda na hajakufanya ki2 kudeserve that rather than njia ya kumuacha. Naomba kuwasilisha.
 
It may or it may not because context is everything.

If someone you love told you that and you don't get bothered (read: hurt) by it then definitely you don't have a heart.

But the point I'm trying to make is, brutal honesty doesn't always help. Tact and diplomacy are always better than just telling it like it is.
I might be bothered but I won't have other option other than accepting what is being said. I'll just accept the fact that I am ugly and somebody has the guts to tell it to my face.

I think i'll try that sometimes. . .
 
Hii thread imenigusa,juzi kati nilimdump girlfriend wangu coz niliona sina future nae so nikamchana live kuwa mm na yy its ova....dah akameza panadol 20 ilikuwa so,now nimeamua kumuacha taratibu....
Duh. . . .pole aiseee!!!
 
Back
Top Bottom