Break up. . .

Break up. . .

Nitakuwa defferent kidogo,unasema kumuacha m2 with no genuine reason! Hapo ndio cpaelewi,sasa utawachoka wangapi au utaacha kuwapenda wangapi? Na mke/mume je ambae lets say ur bound with! Mi nafikiria wengi we2 hatupendi bali tunatamani! Ukitamani oviously ukipata unachokitamani utakizoeya na kukichoka bt ukipenda ni ngumu kumchoka m2! Sasa nakuomba ufikiri kwanini unataka kumuacha m2 ambae at 1st uliona wampenda na hajakufanya ki2 kudeserve that rather than njia ya kumuacha. Naomba kuwasilisha.
Hiyo nayo inahusu.
Ila nadhani ukishaguandua mwenzio ulimtamani tu na hukumpenda ndo unatakiwa umwache haraka ili kuacha nafasi kwa wale wanaompenda kweli na sio unamwekea kiwingu kwa tamaa binafsi.
 
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!

Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?

Mimi napenda kuachwa mara moja ili nijipange nini cha kufanya baada ya hapo.
Kuachwa mara moja ni njia hisiyo ya kinafiki, kuliko kujifanya unaniacha taratibu huku mtima wako ukiwa umemdondokea jamaa mwingine! Unafiki wote huo wa nini? Niambie instantly pale unapohisi kwamba umenichoka, hunipendi tena, umepata mwingine n.k.
 
Mimi napenda kuachwa mara moja ili nijipange nini cha kufanya baada ya hapo.
Kuachwa mara moja ni njia hisiyo ya kinafiki, kuliko kujifanya unaniacha taratibu huku mtima wako ukiwa umemdondokea jamaa mwingine! Unafiki wote huo wa nini? Niambie instantly pale unapohisi kwamba umenichoka, hunipendi tena, umepata mwingine n.k.
Usijali Nzi . . .
Ntakuua kama nnavyochinjaga kuku. . .HARAKA bila kuremba.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
I see!!....
Give him second chance (one more time )
Utamuacha vipi mtu anayekupenda bila yeye kuumia? hapa nadhani mnacheza na hisia za watu.

Hata najua kama ananipenda basiii. . . .usanii tu mwanume kamili.
 
Matola
Natafuta namna ya kumuacha mwanaume kamili bila kumuumiza sana.

Mh! Kumbe ndiyo dhumuni lako?! Hakika kwa namna yoyote ile, iwe ya kuchinja kama kuku au kama nguruwe, lazima huyo unayetaka kumwacha ataumia tu.
Labda jamaa awe na mipango ya kando ya kutosha...otherwise, kama jamaa ndiyo amejenga kibanda kwako, hakika ataumia tu.

Pengine labda ungesema sababu kuu moja ya wewe kutaka kumwacha (kama umeshaisema, si vibaya ukiirudia tena)
 
Back
Top Bottom