Break up. . .

Break up. . .

Ndo hivyo. . .
Kusema kama ananipenda hasemi, kama hanipendi hasemi, wakati mwingine anaonyesha nna kanafasi mwingine haonyeshi. . .basi tabu tupu.

Wewe umeshafunguka na kumwambia unampenda?

Au unasubiri akuambie yeye kwanza?
 
Ndo hivyo. . . Kusema kama ananipenda hasemi, kama hanipendi hasemi, wakati mwingine anaonyesha nna kanafasi mwingine haonyeshi. . .basi tabu tupu.
Sasa si uongee nae! Kaa nae chini ujue kinagaubaga msimamo wake. Kama kweli haeleweki ni vyema kweli ukafanya maamuzi magumu.
 
Sasa si uongee nae! Kaa nae chini ujue kinagaubaga msimamo wake. Kama kweli haeleweki ni vyema kweli ukafanya maamuzi magumu.

Mimi naona kama vile ana kisebusebu huyo mdada.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mh! Kumbe ndiyo dhumuni lako?! Hakika kwa namna yoyote ile, iwe ya kuchinja kama kuku au kama nguruwe, lazima huyo unayetaka kumwacha ataumia tu.
Labda jamaa awe na mipango ya kando ya kutosha...otherwise, kama jamaa ndiyo amejenga kibanda kwako, hakika ataumia tu.

Pengine labda ungesema sababu kuu moja ya wewe kutaka kumwacha (kama umeshaisema, si vibaya ukiirudia tena)
Nzi sio mie bana nnaetaka kumwacha mtu. . .
Nilitaka kujua baada ya mtu mmoja kusema anataka amuache mtu wake taratibu baada ya kupata mwingine.
 
Nzi sio mie bana nnaetaka kumwacha mtu. . .
Nilitaka kujua baada ya mtu mmoja kusema anataka amuache mtu wake taratibu baada ya kupata mwingine.

Ooohh! Kumbe!!
Basi zingatia ushauri uliopewa na wadau humu, kisha mpelekee huyo "mtu mmoja".
Ila ushauri wangu kwake, ni kwamba bora amwache huyu jamaa instantly. Tena sio instantly kwa sasa maana inaoneka ameshapata mtu mwingine.
Lakini hajachelewa, amwambie sasa huyo jamaa kwamba amepata mtu mwingine, full stop.
Wanaume wengine wako too emotional, hasije jinyonga bure.

Cheers.
 
Yeahhh inabidi aangalie hilo la kujiua. . .
Sema sasa huyo anaeachwa nae asije akalitumia kama adhabu/kifungo kwa mwenzie.
 
Hi Lizzy

Kama ulivyo hivyo hivyo!!
Leo kama vile upo. . .kesho kama haupo. . kama unaelekea ila huelekei. . kama unataka ila hutaki. . .yani full kizunguzungu.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulivyo hivyo hivyo!!
Leo kama vile upo. . .kesho kama haupo. . kama unaelekea ila huelekei. . kama unataka ila hutaki. . .yani full kizunguzungu.

Labda na yeye anakuona na wewe uko hivyo hivyo....leo hivi...kesho vile...mara yule kafanana na yule...yaani ghasia na vurumai mwanzo mwisho....
 
Labda na yeye anakuona na wewe uko hivyo hivyo....leo hivi...kesho vile...mara yule kafanana na yule...yaani ghasia na vurumai mwanzo mwisho....

Haahahahaha. . .
Owwwkey labda kidogo. . .ila ye kazidi bana. Mi mpaka natishiwa tindikali bado tu haelewi somo!
 
Labda wanalipa, nitaomba kuwa mhazini.

Kongosho hivi mbona matangazo yako mengi sana humu siku hizi? nashindwa hata kuelewa kama JF inalipwa maana niliona tangazo moja eti Kidupi.com.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha. . . acha unoko wewe. . .achukuliwe, achukuliwe na nani?

mkwe. . .
Mzima kabisa mkwe, sijui wewe.

Mi niko na wewe bana. . .sio mtu anakuacha unajifanya mjinga kwa hiari.

Mwambie kabisa kama kuniacha anichane live biashara ya visingizio sio juzi nampigia simu hapokei wala sms hajibu mwambie sitakunywa panadol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom