Haupo romanticMimi siwezi mkuu.
Labda kwa Nguvu ya limbwata...hata mwanamke sitaki anifanyie.
Oyaaa haupo romantic kabisaNyumbani siwezi, ila ikiwa ni hotelini naweza kufata restaurant.
Hapo ni kama bado tupo siku hiyo, tukimaliza chai kuna malipo yangu, then ndo tukafanye mizunguko.