Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Kwanini nyumbani huwezi? Hata nyumbani unaweza kufuata restaurant

Unajua wenzetu logistics za kutoka nje ya chumba tu lazima aicomplicate, mimi nikivaa kaptura na T-shirt fasta niko restaurant nachukua narudi room, hapo wote tunakuwa bado wa moto, ila ukishaenda mbali kidogo unakuta mmeshapoa, kwa hiyo kuanzia kuzitafuta nyege tena inakuwa usumbufu, maana cha asubuhi hakina romance ndefu.

Kama hiyo offer siipati, anavaa tunaenda wote na safari inaanzia hapo kwa siku hiyo, unless ilikuwa makubaliano kabla ya kwamba tukimaliza nitafata.
 
hizi muvi ndio zimetufikisha hapa tulipo, unaweza fanya hvyo halafu mpokeaji asikupe credit yoyote....akakuona sio mbunifu wala nini ni MuigizaJi tu

Better be yourself, do ur thing in your own ways...and things will be awesome..
 
Back
Top Bottom