Breakfast in Bed....

Ukinipa na hela nafasi unashika ya kwanza kabisa..
tatizo langu niko kama tembo, hujipa likizo ya wiki mbili nihame mji na nimpendaye, muda huo wote usiku na mchana ninakudekeza kama yai jumlisha mambo yetu yale, yaani ukirudi kitaa umeiva kama mwali, na mfukoni sio haba. baada ya hapo ni kazi kazi napunguza ratiba pendwa. unaweza hiyo?
 
Hakuna kinachoshindikana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…