Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kazi kwako
Naona mnataka hii thread niiripoti kwa Mods mchumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwako
Mazee... mnajuawa kupetipeti wanawake aseeh.Ukisikia ujentromani basi hiki ni kisehemu kidogo cha ugentleman wenyewe.. Baada ya kit..mbo heavy cha usiku kucha, asubuh umefanikiwa kuwahi kuamka unaingia jikoni unamtayarishia bibie madikodiko, unampelekea kwa bed anapata staftahi, unamchukua mnaenda bafuni mnakoga, km nguvu unazo za kuvukia bahari unapiga kingine bafuni mkitoka mpo uzani mdogo. Kisha ratiba nyingine zinaendelea..
Sio uempelekea moto mtoto wa watu usiku kucha kisha asubuhi umewahi kuamka ila hufanyi chochote unamsubiri yeye ndio aamke akifanyie kila kitu, ni uonevu wa ISO.
Sababu ipo kwa mfumo wa swali.Hmmmmmmm.
And the reason being?
Malezi mazuri ukiwa na maana gani mzee, ulitegemea mama/baba mzazi/mlezi ndio akufundishe hivi vitu..Mazee... mnajuawa kupetipeti wanawake aseeh.
Itakuwa sikupata malezi mazuri mimi.
Wewe huyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia ujentromani basi hiki ni kisehemu kidogo cha ugentleman wenyewe.. Baada ya kit..mbo heavy cha usiku kucha, asubuh umefanikiwa kuwahi kuamka unaingia jikoni unamtayarishia bibie madikodiko, unampelekea kwa bed anapata staftahi, unamchukua mnaenda bafuni mnakoga, km nguvu unazo za kuvukia bahari unapiga kingine bafuni mkitoka mpo uzani mdogo. Kisha ratiba nyingine zinaendelea..
Sio uempelekea moto mtoto wa watu usiku kucha kisha asubuhi umewahi kuamka ila hufanyi chochote unamsubiri yeye ndio aamke akifanyie kila kitu, ni uonevu wa ISO.
Mwingine nani!!? 😀 😀 😀Wewe huyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh Mkuu ,hii kitu ni kwenda kwa step by stepDuh kuna watu wana bahati dunia hii...
Huwezi niamini nawashangaa hapa.Ha ha ha kama kweli vile..
Daah...poa Mzee baba.Malezi mazuri ukiwa na maana gani mzee, ulitegemea mama/baba mzazi/mlezi ndio akufundishe hivi vitu..
Kila mtu anafanya jambo kwa definition yake na principle zake. Mimi nafanya mambo haya kwa sababu kuu 2.
1. Nina define mapenzi ni sanaa km sanaa nyingine, so sanaa inahitaji ubunifu wa hali ya juu ili yule mlengwa apate kufurahia
2. Ninachopenda mimi ndio namfanyia mwenzangu katika hali ya kumfunza, leo hii nimemuandalia chai, nimemshika mkono mbele ya watu haitakuwa tabu kwake kufanya hivyo kwangu.
Wewe uanayafanya haya chifu?Mmmh Mkuu ,hii kitu ni kwenda kwa step by step
Nishajibu juu hukoWewe uanayafanya haya chifu?
Acha nikapitie.Nishajibu juu huko
Hili linachangia kiasi kidogo mkuu lakin kwangu halina nafsi sikubahatika kuishi na baba na mama nikiwa na akili zangu timamu, baba kavuta mie bwamdogo mnoo, mama nae hakuniletea baba mwingine mpaka utu uzima wangu, ila haya ni mambo ya kujiongeza katika kuitafuta hasa ile raha ya mapenzi,Daah...poa Mzee baba.
Malezi nayo yanachangia..Kama umekua baba na mama wanaitana baby honey...lazima utaendeleza urithi tu.
Kweli Dunia inabadilika na kila kitu sio teknolojia tu Mapenzi na mengineo.Sio lazima maanake tulizoaliwa kabla ya 90 wazee walikuwa conservatives