Breakfast in Bed....

Mazee... mnajuawa kupetipeti wanawake aseeh.

Itakuwa sikupata malezi mazuri mimi.
 
Mazee... mnajuawa kupetipeti wanawake aseeh.

Itakuwa sikupata malezi mazuri mimi.
Malezi mazuri ukiwa na maana gani mzee, ulitegemea mama/baba mzazi/mlezi ndio akufundishe hivi vitu..

Kila mtu anafanya jambo kwa definition yake na principle zake. Mimi nafanya mambo haya kwa sababu kuu 2.

1. Nina define mapenzi ni sanaa km sanaa nyingine, so sanaa inahitaji ubunifu wa hali ya juu ili yule mlengwa apate kufurahia
2. Ninachopenda mimi ndio namfanyia mwenzangu katika hali ya kumfunza, leo hii nimemuandalia chai, nimemshika mkono mbele ya watu haitakuwa tabu kwake kufanya hivyo kwangu.
 
Wewe huyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daah...poa Mzee baba.

Malezi nayo yanachangia..Kama umekua baba na mama wanaitana baby honey...lazima utaendeleza urithi tu.
 
Daah...poa Mzee baba.

Malezi nayo yanachangia..Kama umekua baba na mama wanaitana baby honey...lazima utaendeleza urithi tu.
Hili linachangia kiasi kidogo mkuu lakin kwangu halina nafsi sikubahatika kuishi na baba na mama nikiwa na akili zangu timamu, baba kavuta mie bwamdogo mnoo, mama nae hakuniletea baba mwingine mpaka utu uzima wangu, ila haya ni mambo ya kujiongeza katika kuitafuta hasa ile raha ya mapenzi,

Hivi mkuu unajisikiaje pale unapompelekea mtu moto, mwenzako anafika mahala husika, jibu moja kwa moja huwa kuna raha unaipata kwa kumuona umemfikisha mwenzio kunako, basi ni kitu kile kile huwa najisikia raha kumfanyia mwenzi wangu mambo mazuri yanayomfurahisha bila kunikarahisha mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…