Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ye ndo kanizoesha sasa mi nifanyeje.Wewe babu ushazoea kumuonea bibi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye ndo kanizoesha sasa mi nifanyeje.Wewe babu ushazoea kumuonea bibi.
Hivi ni on bed/in bed??Wangapi tunaweza kufanya hivi?View attachment 861035
Mzigua90 RRONDO I'm a very good cook, na siku moja moja huwa napikia familia nzima, ila sasa doing this sijawahi, I have made breakfast 100 times for her/us lakini zote huliwa mezani, the reality ni kwamba kwanza mwenzangu hakiingii kitu mdomoni kabla hajasafisha kinywa zaidi huwa ni maji ya kunywa,😀😀 Pili hivi mmeshajiuliza the obvious question? tray la breakfast in bed nani analo humu?😛😛( Maana huo mchoro uko inaccurate, that tray isnt the right one) unaweza muunguza mwenzio au akajitingisha vitu vikamwagika, please see attachment ya the real breakfast in bed tray!Mara moja moja mfanyie bibi
Usijekujaribu bila kujipanga ukaishia kuunguza 'Kitumbua'😀😀😀Mzigua90 RRONDO I'm a very good cook, na siku moja moja huwa napikia familia nzima, ila sasa doing this sijawahi, I have made breakfast 100 times for her/us lakini zote huliwa mezani, the reality ni kwamba kwanza mwenzangu hakiingii kitu mdomoni kabla hajasafisha kinywa zaidi huwa ni maji ya kunywa,😀😀 Pili hivi mmeshajiuliza the obvious question? tray la breakfast in bed nani analo humu?😛😛( Maana huo mchoro uko inaccurate, that tray isnt the right one) unaweza muunguza mwenzio au akajitingisha vitu vikamwagika, please see attachment ya the real breakfast in bed tray!
Ndio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.Mzigua90 RRONDO I'm a very good cook, na siku moja moja huwa napikia familia nzima, ila sasa doing this sijawahi, I have made breakfast 100 times for her/us lakini zote huliwa mezani, the reality ni kwamba kwanza mwenzangu hakiingii kitu mdomoni kabla hajasafisha kinywa zaidi huwa ni maji ya kunywa,😀😀 Pili hivi mmeshajiuliza the obvious question? tray la breakfast in bed nani analo humu?😛😛( Maana huo mchoro uko inaccurate, that tray isnt the right one) unaweza muunguza mwenzio au akajitingisha vitu vikamwagika, please see attachment ya the real breakfast in bed tray!
Tunawajua sanaKawaida...
Ninyi wenyewe mnajua.
Kibongo bongo tunaweka ya kawaida tu ila hata hayo yapo mbkna yanauzwa mkuu. Sema hata kumuandalia breakfast na kumuasha ni bonge la point.. kwa zile familia zenye utaratibu wa kupata kifungua kinywa kwa pamoja hilo jambo la breakfast in bed linaleta ukakasi ila kwa unachokifanya wewe kinanogesha mahaba vile vileMzigua90 RRONDO I'm a very good cook, na siku moja moja huwa napikia familia nzima, ila sasa doing this sijawahi, I have made breakfast 100 times for her/us lakini zote huliwa mezani, the reality ni kwamba kwanza mwenzangu hakiingii kitu mdomoni kabla hajasafisha kinywa zaidi huwa ni maji ya kunywa,😀😀 Pili hivi mmeshajiuliza the obvious question? tray la breakfast in bed nani analo humu?😛😛( Maana huo mchoro uko inaccurate, that tray isnt the right one) unaweza muunguza mwenzio au akajitingisha vitu vikamwagika, please see attachment ya the real breakfast in bed tray!
Sote tunaweza kufanya ingawa wengine hatufanyi tu..!Wangapi tunaweza kufanya hivi?View attachment 861035
Maskini anaenjoy kugegedana tu, tusidanganyane hapa, kama huna mpunga, kula kwa shida, kulala unategea hadi watoto wafumbe macho ndo uombe mechi mapenzi utayafurahia wapi?Money is not everything. Hata masikini tuna-enjoy mapenzi si matajiri peke yao.
Mie nimeongelea humohumo kwenye chai/kahawa maana hata kama kuna juice most people hupendelea kitu cha kupasha moto tumbo na kuna wengine the 1st thing ni 'jicho la ngo'mbe' na maziwa na either kasoseji au bacon! sasa a proper stand alone tray is ideal, ukimpakatisha tray kama laptop panaweza tokea ka accident halafu maziwa yakaunguza 'Kitumbua' 😀😀😀😀Ndio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.
Hii kitu bado cjaona ugumu wowote,maybe wengi wanafikiria zaidi breakfast /chaiNdio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.
HahahaHii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
Sio kwa treatment hiyo chief hata mimi nisingechomoa ukiniita. Kuna vitu vidogo mnavifanyaga jamani vinatufanya tuwapende hata kama hatukutaka kuwapenda labda tulifuata hela tu..Hii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.Hii kitu bado cjaona ugumu wowote,maybe wengi wanafikiria zaidi breakfast /chai
Hakuna wasichana na wanawake warahisi kama wa MbeyaHii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
Mimi nikikualika ghetto misosi ni juu yangu, kazi yako ni kula tu. Hata vyombo ukiona shida naosha mwenyewe.Sio kwa treatment hiyo chief hata mimi nisingechomoa ukiniita. Kuna vitu vidogo mnavifanyaga jamani vinatufanya tuwapende hata kama hatukutaka kuwapenda labda tulifuata hela tu..
Haya mkuu ngoja nitafute tray rasmi.Mie nimeongelea humohumo kwenye chai/kahawa maana hata kama kuna juice most people hupendelea kitu cha kupasha moto tumbo na kuna wengine the 1st thing ni 'jicho la ngo'mbe' na maziwa na either kasoseji au bacon! sasa a proper stand alone tray is ideal, ukimpakatisha tray kama laptop panaweza tokea ka accident halafu maziwa yakaunguza 'Kitumbua' 😀😀😀😀
Tuendelee kuelimishana, haka kauzi katamu sana! kamenichangamsha sana leo!