Breakfast in Bed....

Mara moja moja mfanyie bibi
Mzigua90 RRONDO I'm a very good cook, na siku moja moja huwa napikia familia nzima, ila sasa doing this sijawahi, I have made breakfast 100 times for her/us lakini zote huliwa mezani, the reality ni kwamba kwanza mwenzangu hakiingii kitu mdomoni kabla hajasafisha kinywa zaidi huwa ni maji ya kunywa,πŸ˜€πŸ˜€ Pili hivi mmeshajiuliza the obvious question? tray la breakfast in bed nani analo humu?πŸ˜›πŸ˜›( Maana huo mchoro uko inaccurate, that tray isnt the right one) unaweza muunguza mwenzio au akajitingisha vitu vikamwagika, please see attachment ya the real breakfast in bed tray!
 
Attachments

  • images (5).jpg
    7.6 KB · Views: 19
  • download (8).jpg
    7.7 KB · Views: 19
Usijekujaribu bila kujipanga ukaishia kuunguza 'Kitumbua'πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.
 
Kibongo bongo tunaweka ya kawaida tu ila hata hayo yapo mbkna yanauzwa mkuu. Sema hata kumuandalia breakfast na kumuasha ni bonge la point.. kwa zile familia zenye utaratibu wa kupata kifungua kinywa kwa pamoja hilo jambo la breakfast in bed linaleta ukakasi ila kwa unachokifanya wewe kinanogesha mahaba vile vile
 
Ndio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.
Mie nimeongelea humohumo kwenye chai/kahawa maana hata kama kuna juice most people hupendelea kitu cha kupasha moto tumbo na kuna wengine the 1st thing ni 'jicho la ngo'mbe' na maziwa na either kasoseji au bacon! sasa a proper stand alone tray is ideal, ukimpakatisha tray kama laptop panaweza tokea ka accident halafu maziwa yakaunguza 'Kitumbua' πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tuendelee kuelimishana, haka kauzi katamu sana! kamenichangamsha sana leo!
 
Ndio maana ni swali....wangapi tunaweza kufanya hivi? Sio lazima kila mtu afanye. Aunguzwe na nini? Sio kila mtu asubuhi anakunywa chai/kahawa wengine juice tu.
Hii kitu bado cjaona ugumu wowote,maybe wengi wanafikiria zaidi breakfast /chai
 
Hii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
 
Hahaha
 
Sio kwa treatment hiyo chief hata mimi nisingechomoa ukiniita. Kuna vitu vidogo mnavifanyaga jamani vinatufanya tuwapende hata kama hatukutaka kuwapenda labda tulifuata hela tu..
 
Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
 
Hii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
Hakuna wasichana na wanawake warahisi kama wa Mbeya
 
Sio kwa treatment hiyo chief hata mimi nisingechomoa ukiniita. Kuna vitu vidogo mnavifanyaga jamani vinatufanya tuwapende hata kama hatukutaka kuwapenda labda tulifuata hela tu..
Mimi nikikualika ghetto misosi ni juu yangu, kazi yako ni kula tu. Hata vyombo ukiona shida naosha mwenyewe.
 
Haya mkuu ngoja nitafute tray rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…