Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Sio kama wanaume hatuwezi kufsnya hivi,ila tatizo wanawake wa kibongo ukifanya huduma hizi za kumuonyesha unamjali basi atakudharau sana tho wapo wachache they deserve this
 
Kuiga mapenzi ya kwenye tamthilia kunawatesa sana wanadamu wa kizazi hiki.

Wengine wanaiga styles za mapenzi wanazoziona kwenye video za porn.

Muwe makini sana
 
wazomu huo..yaani ni sawa na kutwanga pilipili..utakohoa tu kama sio sasa baadae
 
Ukijipanga na ukampanga inawezekana, hizo mambo Mara moja kwa mwaka si mbaya.

Na mkiwa kwenye mood nzuri mbona unajikuta unafanya zaidi ya hapo? Kikinukia vacation ndo shida, halafu unajikuta umebook 3 days na kinanuka day 1.

Dah, nimekumbuka mbali sana, hizi mambo za kushtukizana hazitakiwi aisee.
Mie nishajipanga ,cz ratiba ya kufanya vacation ninayo sana karibu kila mwaka nafanya ,tatizo utayari wa muhusika,kwanza kunielewa Pili kukubali hy vacation
 
Mie nishajipanga ,cz ratiba ya kufanya vacation ninayo sana karibu kila mwaka nafanya ,tatizo utayari wa muhusika,kwanza kunielewa Pili kukubali hy vacation

Mkuu ipresent kwa muhusika, huwezi jua mnaweza kuclick.

Ingawa wengine kukuelewa inachukua muda, lakini its worth a trial, anaweza asikubali hii ya sasa lakini ukapata nafasi baadae.
 
Mie nishajipanga ,cz ratiba ya kufanya vacation ninayo sana karibu kila mwaka nafanya ,tatizo utayari wa muhusika,kwanza kunielewa Pili kukubali hy vacation
Ninavyowajua dada zangu kukataa ni nadra sana.
 
Inategemea na mwanamke mwenyewe,,,,,, wengine ni makomandoo
 
Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi! Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanya
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi ya kizamani Yale
 
Back
Top Bottom