Breakfast ya matunda

Yaani ndo unakutana na mchepuko anayekuandalia mambo kama hayo regularly kwanini usimsahau mkeo. Wanaume tuna kazi sana.
 




Cantaloupe


Papai


Pineple

Watermelon




Kwa wale wanaojali afya, hii ni aina ya breakfast unayoweza kutengeneza. Unaweza kuchanganya na yogurt pia.
Asante sana miongonii mwa watu umeniifurahisha wew mmoja wapo siku ya leo maana nilikuwa modless! I wish kila siku walau ungepost tusingeona Cv threas za watu ambao wanatafuta umaarufu waliokosa nje ya JF! Last i wish if i could be there! Ubariikiwe sana!
 
Rusha picha zako ukitumia mashine hiyo waone kabla ya kununua kuwavutia wateja zaidi, sababu picha nyingi hapo nimeshawahi kuziona mtandaoni kama sio zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…