Breakfast ya matunda

Breakfast ya matunda

Pamoja na kuwa na Machine lakini pia alieanda hayo matunda presentation iko poa sana
 
Asante sana miongonii mwa watu umeniifurahisha wew mmoja wapo siku ya leo maana nilikuwa modless! I wish kila siku walau ungepost tusingeona Cv threas za watu ambao wanatafuta umaarufu waliokosa nje ya JF! Last i wish if i could be there! Ubariikiwe sana!
Asante mkuu.
 
s-l225.jpg


s-l1600.jpg


Bei haifiki 30,000 mkuu
Zipo Bongo?
 
Hii decoration ni home made ama hotel made???? [HASHTAG]#yummy[/HASHTAG]
 
Hiyo yaitwa 5 or 10 fruits a Day.

Safi sana.
 
Nilidhani unauza mamii, ahsante sana wengine matunda hadi Dr aseme
Mumii ninakuelewa, mimi mwenyewe zamani kidogo nilikua ninakohoa sana, dada mmoja aliniambia nile matunda kwa wingi yeye alikua nurse. Kwakweli ilikua dawa na nilijenga tabia kutoka pale.
 
Jamani hiyo mashine ndio inakata matunda yote hayo style tofauti au itabid nizinunue mashine tofauti tofauti?
 
Jamani hiyo mashine ndio inakata matunda yote hayo style tofauti au itabid nizinunue mashine tofauti tofauti?
Hii machine ni kwaajili ya nanasi, matango kuna scoop kama ya ice cream lakini inaacha hiyo shape ukichota.
 
Back
Top Bottom