Breaking News
BREAKING: Civil Society group files case in High Court seeking to stop tallying of presidential votes, argues process not credible....
Source: www. nation.co.ke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizungumkuti,sarakasi zinaendelea.Africa yangu Demokrasia bado saana labda Ghana pekee"
Ghana pekee yake kivipi, mbona sisi ketu Tz kuna Demokrasia, tena zaidi ya ya Ghana?
Mzaha huo! Huu ni mwaka wa tatu sasa matokeo rasmi ya uraisi wa 2010 (yakionyesha kura kwa majimbo/vituo) hayajatolewa. Demokrasia gani hiyo?
Ghana pekee yake kivipi, mbona sisi ketu Tz kuna Demokrasia, tena zaidi ya ya Ghana?
Tanzania kuna wizi, kutumia ujinga na umasikini kwa malengo ya CCM. HAKUNA DEMOKRASIA
Demokrasia Ipo, sema haijitoshelezi, kama ilivyopaswa kuwa, kama sehemu nyingine yoyote ile!
tanzania usiporidhika na matokeo ya rais unafanyaje????
Eeee Mwenyezi Mungu uinusuru Kenya na machafuko.
Mungu mnampa mizigo mingi mno, mingine hata yeye haiwezi!
Sijasema Demokrasia yetu haina mikwaruzo, La hasha! Tunafanya Uchaguzi kwa Amani, matokeo yanatoka aliyeshindwa anakubali, anamtambua aliyeshinda na maisha yanaendelea, tunaanza kujipanga kwa Uchaguzi ujao!
Hata Waghana pia ukiongea nao wana malalamiko kibao kuhusu Demokrasia yao kama sisi tu, tena na zaidi, mwisho wa siku sisi bado ni mfano wa kuigwa Afrika, kama sio Duniani!
Mungu mnampa mizigo mingi mno, mingine hata yeye haiwezi!
Ghana pekee yake kivipi, mbona sisi ketu Tz kuna Demokrasia, tena zaidi ya ya Ghana?
Hivi unauliza swal au unatuambia?? Jaribu kujifunza namna ya kutumia question mark (?)!!
Anyway, Democracy ya TZ wanaijua wana CCM peke yao!!
Sisi hatuna demokrasia, tuna ujinga uliotukuka kwenye demokrasia!!
Ghana pekee yake kivipi, mbona sisi ketu Tz kuna Demokrasia, tena zaidi ya ya Ghana!