BREAKING: Civil Society group files case in High Court seeking to stop tallying

BREAKING: Civil Society group files case in High Court seeking to stop tallying

Tatizo unasikiliza sana tv za wazungu na usikute hata Ghana hujawahi kufika, nakwambia hakuna lolote, bora kwetu!

the baseline: TZ hakuna democrasia ya kweli bali wizi wa kura na watu kuamua kutulia tu majumbani kutotaka vurugu na fujo....sasa hiyo isiiite demokrasia. Na mimi sijasema habari ya ghana ila wewe uliye na fikra za kuabudu mambo ya wengine. Inawezekana ulikwenda ghana kwa semina basi umepata sababu ya kuropoka. gademu you....what the hell is ghana by the way!!??
 
Basi labda hujafuatilia huu mjadala tangu mwanzo umeudandia, ukifuatilia utaona kwamba nilikuwa namjibu mtoa hoja mmoja aliyesema kwamba Afrika nzima hakuna Demokrasia labda Ghana, na hapo ndipo hoja Ghana ilipotokea, sasa wewe nafikiri umeingilia katikati bila kuelewa kilichokuwa kinajadiliwa, kwa kuchangia tu usichokielewa, punguza jazba, lazima ukubali kukutana na watu au maoni usiyokubaliana nayo ndio demokrasia yenyewe hiyo, Demokrasia ngumu oh!

Mahakama kuu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyokuwa imewasilishwa na mashirika ya kijamii dhidi ya tume ya uchaguzi wakiitaka isitishe shughuli ya kuhesabu kura za urais.

Walidai kuwa tume hiyo inahujumu matokeo hayo.

BBC Swahili
 
Sababu za kutupa hiyo case ni nini?
 
Back
Top Bottom