Hiyo siyo sifa ya Mungu, Mungu anaweza kila kitu.
Ghana pekee yake kivipi, mbona sisi ketu Tz kuna Demokrasia, tena zaidi ya ya Ghana!
Huu ni mzaha wa kufungia wiki.
Tatizo unasikiliza sana tv za wazungu na usikute hata Ghana hujawahi kufika, nakwambia hakuna lolote, bora kwetu!
the baseline: TZ hakuna democrasia ya kweli bali wizi wa kura na watu kuamua kutulia tu majumbani kutotaka vurugu na fujo....sasa hiyo isiiite demokrasia. Na mimi sijasema habari ya ghana ila wewe uliye na fikra za kuabudu mambo ya wengine. Inawezekana ulikwenda ghana kwa semina basi umepata sababu ya kuropoka. gademu you....what the hell is ghana by the way!!??
Breaking News
BREAKING: Civil Society group files case in High Court seeking to stop tallying of presidential votes, argues process not credible....
Source: www. nation.co.ke
Mungu mnampa mizigo mingi mno, mingine hata yeye haiwezi!