Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Halafu eti wanamwona Sinwar kuwa ni shujaa!Walisema hamas walifanya kosa la kihistoria watu walichukulia poa tu. Ile sikukuu kwa myahudi ni kubwa Sana na wanaiheshimu sana. Sasa Upumbavu wa hamas wakavyamia watu wakati huo. KOSA LA KIHISTORIA linaandika HISTORIA PIA HII ITAWEKWA KWENYE KUMBUKUMBU ZA HAMAS
si Hamas wameshinda?Kuingia mkataba na makafiri ni kazi bure, si wakweli siku zote, yaliyomo kwenye vifua vyao ni mabaya zaidi
Ndugu kwanini mnashabikia mauaji?Wapalestina ni Wanajesh wenye kupigiwa mfano kwasasa dunian embu nakumbusha ili lengine kuusu Ujemedari wa Hamas awajamaa awana vifaru awana ndege awana gari za vita na kakikundi tu lkn vip waliweza kuvamia kambi za JESH 4 za Israel wakiwatembezea shaba ana kwa ana na kufanikiwa kudhibiti izo kambi zote na kuchukua Wanajeshi IDF mateka adi Kamanda mkuu wao na kuwabeba adi GAZA kwamasaa 2 tu !!! Sasa tuje upande wa IDF walijiandaa mwezi mzima ili tu kuingia Gaza uku wakiwa na kila aina ya silaha vifaru ndege vita IDF wameingia GAZA ili iwakomboe raia na wanajeshi wao huu mwaka na miez 5 inaenda na wameshindwa kias cha mwanzo Netanyahu aliweka pesa mezani nasasa kaweka kaweka kilakitu mezani ujenzi upya GAZA misaada ipite wafungwa wa Palestine wawe Free zawadi zote kutoka kwa Netanyahu ili tu awapate raia wa israel kwamaana IDF imeshindwa na Hamas!!! Awana chakujitetea kambi4 za Wanajesh mnachapika!!!! Na Hamas!!!
Huoni kuwa huo ndio ugaidi wenyewe unaopigwa vita,walifanya shambulio la kustukiza kama ilivyokuwa ubalozi wa Dar na Nairobi ni sawa na kujilipua kwa kuvaa mabomu katikati ya wasio kuwemo na walio kuwemo,kama walifikiri wanaweza vita SI wangetangaza hadharani?!kuwa wanavamia kinyume chake baada ya kuua na kuchukua mateka wakaendelea kuvurumisha makombora kuelekea Israeli,ulitaka Israel ifanye Nini zaidi ya Netanyahu kutangaza vita au umeshasahau Mkuu.Wapalestina ni Wanajesh wenye kupigiwa mfano kwasasa dunian embu nakumbusha ili lengine kuusu Ujemedari wa Hamas awajamaa awana vifaru awana ndege awana gari za vita na kakikundi tu lkn vip waliweza kuvamia kambi za JESH 4 za Israel wakiwatembezea shaba ana kwa ana na kufanikiwa kudhibiti izo kambi zote na kuchukua Wanajeshi IDF mateka adi Kamanda mkuu wao na kuwabeba adi GAZA kwamasaa 2 tu !!! Sasa tuje upande wa IDF walijiandaa mwezi mzima ili tu kuingia Gaza uku wakiwa na kila aina ya silaha vifaru ndege vita IDF wameingia GAZA ili iwakomboe raia na wanajeshi wao huu mwaka na miez 5 inaenda na wameshindwa kias cha mwanzo Netanyahu aliweka pesa mezani nasasa kaweka kaweka kilakitu mezani ujenzi upya GAZA misaada ipite wafungwa wa Palestine wawe Free zawadi zote kutoka kwa Netanyahu ili tu awapate raia wa israel kwamaana IDF imeshindwa na Hamas!!! Awana chakujitetea kambi4 za Wanajesh mnachapika!!!! Na Hamas!!!
🤣🤣🤣wamewauwa mayahudi wote; wamechukua pahala pa mayahudi hakika mlezi yu upande wao.HAMAS wameshinda kwa kishindo
Acha tu mkuu. Wangejua Ile sikukuu ya vibanda kwa wayahudi niya muhimu kiasi gani na agizo lao la kiagano.Halafu eti wanamwona Sinwar kuwa ni shujaa!
Hakika ni shujaa wa upumbavu.
Gaza imefutwa katika ramani ya dunia.
Hamas kwisha habari yao.
Sinwar mwenyewe walimfumua fuvu.
Mwisho wa siku, Wapalestina wamenufaikaje na hayo mashambulizi ya Oktoba 7?
Wadau hamjamboni nyote?
Ni masaa machache baada ya makubaliono kusitisha vita vilivyodumu miezi 15
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
BBC
71 killed in airstrikes since ceasefire announcement - Hamas-run civil defence
published at 12:35
12:35
Breaking
The Hamas-run civil defence agency says 71 people have been killed in Israeli airstrikes in Gaza since the ceasefire announcement yesterday.
They say this figure includes more than 19 children and 24 women.
The Israeli military has not yet commented.
Israeli strikes on Gaza kill at least 71 ahead of ceasefire coming into force
A ceasefire and hostage deal between Israel and Hamas is expected to come into force on Sunday with an initial six-week truce, but for now the fighting continues
Gaza's civil defence agency says at least 71 Palestinians have been killed since the deal was announced yesterday evening
A vote by the Israeli cabinet on the deal has now been delayed, with the office of the Israeli PM accusing Hamas on reneging on the agreement and creating a last minute crisis
The ceasefire is a considerable diplomatic achievement and long overdue, but it won't end the century-long conflict, writes Jeremy Bowen from Jerusalem
Hamas attacked southern Israel on 7 October 2023, killing about 1,200 people and taking 251 back to Gaza as hostages
The attack triggered a massive Israeli offensive on Gaza, during which more than 46,000 Palestinians have been killed, according to the Hamas-run health ministry
Hahaaa oh yeah?
Sasa kambi ya jesh inavamiwa unaita Ugaid wangevamia shule za watoto ungeitaje!!!! Israel na Palestina wapo vitani miaka 50 sasa ndio mana IDF Ikaweka kambi mpakani na GAZA kwaajili ya mikakati ya kivita ukweli ndio huu media zinawakuza kipropaganda IDF kumbe weupe kabisa nisawa na sungusungu tunaambiwa ata waliongia GAZA walikuwa kutoka jeshi la Marekani na UK Bila Marekani na Ulaya Israel awezi simama na HAMAS sasa imewekwa wazi Dunia imejua pia ata ile propaganda ya vita siku6 aikuwa kati ya mwarabu na Israel huu uwongo na propaganda vita ilikuwa kati ya mwarabu vs Marekani +ulaya yumkin ata ile ya Entebe kuokoa raia wa israel ikawa propaganda kuitaja Israel pekeyake lengo la mfadhili mkuu wa israel yani Marekani alitaka Dunia ipate picha kuwa israel ni moto hatari kaaa mbali kwa usalama wako!!!!! Lkn vijana wa Hamas walishashtuka kuwa awa Maboga tu ndio mana wakaamua kuushtua ulimwengu kuwa nyie mnalishwa matango poli ngojeni muone ao wanajesh w Israel na IDF yao ndio awa wakupambana na Misri vichekesho sana chakushanga wametwambia wameishinda Misri lkn apo apo kuna Mkataba wa CAMP DAVID unayoipa Misri mamilioni kila mwaka!!!! Sasa nyinyi si mliwashinda kivita vip tena mnawaongo Mapesa mengi mengi!!!! Marekani ilikuwa inataka watu tuamini Israel inanguvu sana! Tunawashukulu HAMAS kuweza kutupa ukweli tuliofichwa kwa miaka 50+ sasa. Kambi 4 wanajesh wanakimbia uku wanaita maamamaaaa mamaaaa !!!!!!!!Huoni kuwa huo ndio ugaidi wenyewe unaopigwa vita,walifanya shambulio la kustukiza kama ilivyokuwa ubalozi wa Dar na Nairobi ni sawa na kujilipua kwa kuvaa mabomu katikati ya wasio kuwemo na walio kuwemo,kama walifikiri wanaweza vita SI wangetangaza hadharani?!kuwa wanavamia kinyume chake baada ya kuua na kuchukua mateka wakaendelea kuvurumisha makombora kuelekea Israeli,ulitaka Israel ifanye Nini zaidi ya Netanyahu kutangaza vita au umeshasahau Mkuu.
Kwani walipovamia walikuwa na Support yoyote ya raia wamarekan!! walikuwa wanapinga VIFO vya ovyo ovyo kama apo GAZA wanachofanya!!!!! Afghanistan nako ivyoivyo raia wengi walikufa lkn mwisho ni marekani tunajua alitoka mbio kama Vietnam.Kijeshi, Marekani haikushindwa huko Vietnam.
Hiyo vita ilikosa support ya raia wake, Marekani.
Hata uwe Marekani [the world’s only super power], kama raia wako hawakuungi mkono katika vita ambayo unashiriki, mwisho wa siku, vita hiyo itaonekana haina maana wala faida yoyote ile.
Ikishaonekana hivyo, ukiamua kufunga virago vyako na kuachana nayo, watu wataona kama umeshindwa.
Huko ni kushindwa kisiasa na si kushindwa kijeshi.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizo distinctions.
Ujue hata mimi mpaka leo sielewi, watu wamepukutishwa kama umande , mji umekua magofu kongwe lakini haoo bara barani na neno lao pendwa lile ....akbar akbari muarabu kweli kichwani kuna magimbi kama kushinda vita ndio kule Putin kazi anayo🤣Alafu wanadai wameshinda huku wanapukutika.
Si wameshinda vita mkuu hujaona walivyokua wanashangilia jana huku wakiswali kidogo kwa rahaRaia wa Gaza wanateseka mno na hivi vita.
Sisi tunashabikia ukombozi kama pia tulivoshabia ukombozi wa Africa kusini tuliguswa na mateso yao bila kuangalia langi yao au dini yao tuliungano pamoja kuwatetea ata Palestina walitoa support kwa Mandela awakuangalia langi yao wala Dini yao! lkn Tanzania kweli tuna mazwazwa wao wanashabikia israel kisa chuki yao kwa waislam!!!! Awa Waisrael ambao ata kwenye ukombozi wa Africa kusini awa waisrael walikuwa bega kwa bega na makaburu walitaka kuwanyang,anya ardhi yao na kuwauwa weusi wenzetu!!! Kama ilivo Palestina Wazungu wamejipachika uisrael wa mchongo sasa wanadai ardhi yate ya Palestina ni yao wao!!!! Ata UN wameshangazwa na akili izi za israel!!Ndugu kwanini mnashabikia mauaji?
Kwani Kuna anayekubishia? Tumekubali hamas ameshinda.Wapalestina ni Wanajesh wenye kupigiwa mfano kwasasa dunian embu nakumbusha ili lengine kuusu Ujemedari wa Hamas awajamaa awana vifaru awana ndege awana gari za vita na kakikundi tu lkn vip waliweza kuvamia kambi za JESH 4 za Israel wakiwatembezea shaba ana kwa ana na kufanikiwa kudhibiti izo kambi zote na kuchukua Wanajeshi IDF mateka adi Kamanda mkuu wao na kuwabeba adi GAZA kwamasaa 2 tu !!! Sasa tuje upande wa IDF walijiandaa mwezi mzima ili tu kuingia Gaza uku wakiwa na kila aina ya silaha vifaru ndege vita IDF wameingia GAZA ili iwakomboe raia na wanajeshi wao huu mwaka na miez 5 inaenda na wameshindwa kias cha mwanzo Netanyahu aliweka pesa mezani nasasa kaweka kaweka kilakitu mezani ujenzi upya GAZA misaada ipite wafungwa wa Palestine wawe Free zawadi zote kutoka kwa Netanyahu ili tu awapate raia wa israel kwamaana IDF imeshindwa na Hamas!!! Awana chakujitetea kambi4 za Wanajesh mnachapika!!!! Na Hamas!!!
Ni wapumbavu. Huo upumbavu wao unaonekana pia kupitia mashabiki wao wa humu JF.Ujue hata mimi mpaka leo sielewi, watu wamepukutishwa kama umande , mji umekua magofu kongwe lakini haoo bara barani na neno lao pendwa lile ....akbar akbari muarabu kweli kichwani kuna magimbi kama kushinda vita ndio kule Putin kazi anayo🤣