Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hasira ya nini?! Magaidi lazima washughulikiwe bila kupepesa machoNakukumbusha nakuwakumbusha wengine, VIETNAM raia milion 3 waliuwawa na Marekani lkn ilo alikufanya Marekani ishinde vita japo Marekani walisema Wanajeshi wao elf 58000 walikufa kwenye iyo vita Je nani mwisho alishinda Vita??