Waambie bana! Tukisema CCM waliotufikisha hapa hawana uwezo wa kutukomboa wanabisha! Dawa ni kumtoa mdudu CCM na kubadili mfumo mzima.Elimu ya Tanzania iliporomishwa mwaka 1967 tulipoamuwa kuwachana na mfumo uliowekwa na Waingereza. Kwa miaka 38 baada ya hapo tukajitahidi kufanya kila njia kuigaragaza elimu kwa wengi na kuwasomesha wachache ambao tulidhani wangeifanya kuwa hii nchi ni pepo ya dunia. Kwa bahati mbaya kabisa hao wachache waliosomeshwaa kwa makusudi kabisa, wakawa ndio kuni za kuiteketeza hii nchi katika kila nyanja, kuanzia elimu, afya, uchumi, utalii mpaka utu na jamii.
Leo miaka 7 ya Kikwete tunaona mabadiliko makubwa sana, tunaona vyuo vikuu vikijengwa kwa idadi ya zaidi ya kimoja kila mwaka toka aingie madarakani, tumeona shule za sekondari zaidi ya 4000 zikijengwa wakati wake, tumeona kuwa kuna baadhi ya shule wameruhusiwa wafate mfumo wa Kiingereza na kwa sasa unatambulika tena rasmi.
Tunaona jitihada na bajeti ya wizara ya elimu ikipanda kila mwaka. Ni mwanzo mzuri baadaa kusambaratishwa na kutuacha kuwa nchi ya mwisho kielimu kulingana na jirani zetu kama Kenya na Uganda.
Tunamtakia kila la kheri Kikwete airudishe mitaala na iwe bora kuliko ilivyokuwa wakati tunapata Uhuru.
Wengi tulioiwahi elimu na mitaala ya mkoloni tunasikitishwa sana tukiona elimu ilipopelekwa pabaya, sijui nani alitudanganya kuwa tunaweza kuleta maendeleao bila kuwekeza kwenye elimu kwa nguvu zaidi? Nakumbuka shule yangu ya awali Kisarawe, tulikuwa na kila cha kujivunia kama shule na nakumbuka shule yangu ya pili H. H. The Agakhan Secondary School ambayo baadae ikaja kuitwa Tambaza Secondary School.
Tulikuwa tuna maabara ambayo hata hospitali nyingi tu nyingine kwa sasa haina. Tulikuwa tuna Art room, ambayo ukiingia unajuwa nipo chumba cha ma artist. Tulikuwa tuna vifaa vya michezo ambavyo hata timu za Taifa kwa sasa hazina, tulikuwa, tulikuwa, tulikuwa, tulikuwa.
Roho inauma sana.
bongo elimu kazi kwelikweli.kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu
Source mkuu!
Hata hivyo km ndivyo naona kuna information breakdown hapa....hawajulishani sababu mahususi za kutoka mpango "A " kwenda "B", ndiyo maana akija mtu mwingine anarudi kule kule. Ninachokumbuka sababu za kurudisha nyuma mtihani wa form six kutoka May kuja February....ni kuwezesha watakaohitimu form six wajiunge na vyuo same year.Sasa ikienda may je hili litawezekana? Maana results zitatoka July au August,Vyuo vinafungua September....hapa si tutarudi enzi zile za kusubiri mwaka mmoja na miezi 4?
nafikiri ni kutokujitambua kama taifa,hatujiandai ipasavyo si kisera wala kimipango na vipaumbele vinavyoainishwa kwenye maeneo mbalimbali kama vile elimu havieleweki so kilichobaki ndo hivi sasa kujaribu jaribu kama tutafanikiwa
una kazi maalum jf wewe, jk??
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu
Ni kweli, Ilikuwa 1993 wakati wizara ya elimu ilitaka kuwaanda form one wa mwaka ule kwaajili ya new millenium kwa kuyaunganisha masomo ya sayansi (Physics, Chemistry, Biology) kuwa somo moja la unified science na yale ya Geography, Siasa (Civics) na History kuunganishwa na kuwa social studies wakati hata vitabu mfumo mpya walikuwa hawajachapisha.tz ni full kuyumbishwa 2, c unakumbuka enzi zile za physics with chemistry
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu
Dah....mbona wanarudi kule kule tena?
taratibu wanakuja, mwishowe watasema ukimaliza six may, june jkt then chuo mwaka unaofuata kama enzi za mwalimu. HII WIZARA YA ELIMU INAMABADILIKO KILA WAZIRI MPYA ANAPOINGIA.
HII NDO AFRICA, EVERY IMPOSSIBLE IS POSSIBLE IN TANZANIA