ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wala sio CCM.Stress zote hizi zinasababishwa na CCM![emoji41][emoji41][emoji41]
Hii habari ni nzuri ila tu ni sawa na supu iliyokosa chumvi na mafuta mafuta maana haina hata PICHANimeshuhudia live maeneo ya Riverside ubungo tukio la kuchekesha Sana.kuna abiria mwanamama kashushwa na bodaboda Sasa alikuwa kavaa helment Sasa alivyoshuka akasahau kuvua helment akampa bodaboda hela alafu akaondoka Hadi watu tuliokuwa tunashuhudia tukamuita we mmama rudisha helment ndo akashtuka alijisahau Sasa we kweli unawezaje kutembea na helment una pressure gani , stress gani,.hutakiwi kuongea hata peke yako ukiwa unatembea barabaran kwamba hizo Ni dalili za uchizi.aliyenielewa Ani tag
Wewe kijana mdogo veeepeeee?Stress zote hizi zinasababishwa na CCM![emoji41][emoji41][emoji41]
Manyoka msumari wangu wa leo wa utosini umekupata vizuri!![emoji41][emoji41][emoji1]Wewe kijana mdogo veeepeeee?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] ukite alikua anajiuliza mbona wigi zito hiv leo[emoji23][emoji23]
Nimeshuhudia live maeneo ya Riverside ubungo tukio la kuchekesha Sana.kuna abiria mwanamama kashushwa na bodaboda Sasa alikuwa kavaa helment Sasa alivyoshuka akasahau kuvua helment akampa bodaboda hela alafu akaondoka Hadi watu tuliokuwa tunashuhudia tukamuita we mmama rudisha helment ndo akashtuka alijisahau Sasa we kweli unawezaje kutembea na helment una pressure gani , stress gani,.hutakiwi kuongea hata peke yako ukiwa unatembea barabaran kwamba hizo Ni dalili za uchizi.aliyenielewa Ani tag