ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeshuhudia live maeneo ya Riverside ubungo tukio la kuchekesha Sana.kuna abiria mwanamama kashushwa na bodaboda Sasa alikuwa kavaa helment Sasa alivyoshuka akasahau kuvua helment akampa bodaboda hela alafu akaondoka Hadi watu tuliokuwa tunashuhudia tukamuita we mmama rudisha helment ndo akashtuka alijisahau Sasa we kweli unawezaje kutembea na helment una pressure gani , stress gani,.hutakiwi kuongea hata peke yako ukiwa unatembea barabaran kwamba hizo Ni dalili za uchizi.aliyenielewa Ani tag