Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

Kazi kweli kweli
 
Hii habari inasaidia nini maendeleo ya Taifa?
 
Umeona shida kutafuta namna gani supreme leader Iran hupatika Ili kujiridhisha na hiyo habari!?
 
Akiwa kwenye shimo! Ajue hata Sadam na Gadaffi walikutwa na kutolewa shimon
Ayatollah Alishauawa na majeshi ya Israel
Kinachofanyika ni system kuficha kuogopa nchi kupinduliwa .

Yuko peponi anajilia mabikira 72

Aliuawa siku alipouawa mkuu wa majeshi mpya
 
tengenezeni propaganda zenu kadri muwezavyo kipigo kipo pale pale mpk israeli iwe kama GAZA
 
Huko alikojificha patapigwa bunker buster moja ya hatari, ila sasa hivi hata hao aliowachagua lazima wanatetemeka popote walipo maana wanaweza kuuawa kisa tu wametajwa....Myahudi ni balaa.

Kama ile Mother of All Bombs, MOAB moja tu huko ardhini milima ya Iran itatikisika na kupotelea huko, ila nasikia Mzee Ayatollah hajapata choo tokea vita kuanza, maana kula shida, streass kubwa sana, maana Myahudi mtoa roho za watu amemfikia haraka kuliko alivyodhania, hii vita ina funzo kubwa sana dunia hii.!!
 
Inaogopesha Supreme leader kutoka kuishi kwenye jumba la kifahari hadi kwenda kuishi shimoni. Kweli maisha hayana formula.
 
Mzee wa miaka 86 kufa ni jambo la kawaida. Hata kama asipokufa wakati huu lkn sidhani kama atashika hio nyadhifa mpaka atakapofikisha miaka zaidi ya 90. Kibongo bongo Mzee wa miaka 86 nikama Wasira ambae hafai kupewa nyadhifa ya aina yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…