Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama warithi watarajiwa akiwa amejificha kwenye chumba cha kulala. chini ya ardhi huku akikabiliwa na vitisho vya kuuawa na Israel katika vita vinavyoendelea, gazeti la New York Times linaripoti. Khamenei pia ameanza kujaza nafasi za makamanda wakuu walioondolewa na Israel, kwa mujibu wa ripoti hiyo, ambayo inawataja maafisa watatu wa Iran wanaofahamu mipango hiyo. Kulingana na maafisa hao, mtoto wa Khamenei, Mojtaba, si miongoni mwa makasisi watatu walioteuliwa kuwa kiongozi mkuu. Ripoti za awali zilisema kwamba Khamenei alikuwa akimtayarisha mwanawe kuchukua nafasi baada ya kifo chake. Soma zaidi kwa kimombo, 1:49 pm
NYT: Khamenei has picked three potential successors, filled senior military posts from bunker
This photo released by an official website of the office of the Iranian supreme leader, shows Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei in a televised speech, under a portrait of the late revolutionary founder Ayatollah Khomeini, June 13, 2025. (Office of the Iranian Supreme Leader via AP)

Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei has nominated three clerics as potential successors while hiding in a bunker as he faces threats of assassination by Israel in the ongoing war, The New York Times reports.

Khamenei has also begun filling spots of senior commanders eliminated by Israel, according to the report, which cites three Iranian officials familiar with the plans.

According to the officials, Khamenei’s son, Mojtaba, is not among the three clerics nominated to become the supreme leader. Previous reports have said that Khamenei was grooming his son to take over upon his death.
Alitoa ahadi ya kuifuta Israel sasa anafutwa yeye ila hao walio chaguliwa wametangaziwa kiama tayari anytime wanaliwa vichwa
 
Umeona shida kutafuta namna gani supreme leader Iran hupatika Ili kujiridhisha na hiyo habari!?
Umeona shida kutafuta namna gani supreme leader Iran hupatika Ili kujiridhisha na hiyo habari!?
Kwenye vita hakuna hivyo vikao vya kuchagua mrithi. Ni sawa tu na muislamu kula nguruwe Kwa dharura ya kukosa mboga jangwani.
 
Ayatollah Alishauawa na majeshi ya Israel
Kinachofanyika ni system kuficha kuogopa nchi kupinduliwa .

Yuko peponi anajilia mabikira 72

Aliuawa siku alipouawa mkuu wa majeshi mpya
Lete ushahidi
 
Western propaganda
Screenshot_2025-06-21-17-04-18-505_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-21-16-48-20-288_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-21-11-16-38-196_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-21-11-16-41-913_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-21-11-16-05-724_com.instagram.android.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-21-10-24-45-576_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2025-06-21-10-24-45-576_com.instagram.android.jpg
    305.6 KB · Views: 22
Israel miaka 20 kajipanga kupigana na Iran kanunua mawaziri. Wakuu wa majeshi kule Iran katengeneza viwanda chini ya ardhi kwa kusaidiwa na wa Israel wenye asili za Iran. Iran kupoteza viongozi Kama hao kwa nchi miaka 20 ilipanga kupigana na Iran ni kawaida sana. Sioni hapo ajabu ya kumsifia Israel kwa ujinga alio fanya miaka 20 anapewa infomation anawatu walienda mpaa kuzipiga Air Defence system ili ndege zake zipige Iran leo anapigwa na 🇮🇷 Kama mtoto hahaha.
 
Umeandika nini?! Mbona una haraka sana!?
 
Muda wake wa Kufa upo mikononi mwa Israel kila sehemu anakoenda wanapajua
 
🇮🇷 Breaking — The office of His Eminence Imam Khamenei (H) has denied the recent news published by The New York Times concerning his successor, labeling the reports as fabricated and false.

🔹@enemywatch
 
Huyu Jamaa kumbe ana akili sana,kamuacha mwanae ili aendelee kula mema ya nchi maana angemuweka kwenye list angepelekwa Kwa bikra kabla ya Baba ake
 
Ayatollah Alishauawa na majeshi ya Israel
Kinachofanyika ni system kuficha kuogopa nchi kupinduliwa .

Yuko peponi anajilia mabikira 72

Aliuawa siku alipouawa mkuu wa majeshi mpya
Duuh nishapitwa kumbe, mkuu wa majeshi mpya alishauawa kumbe
 
Back
Top Bottom