Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

Alitoa ahadi ya kuifuta Israel sasa anafutwa yeye ila hao walio chaguliwa wametangaziwa kiama tayari anytime wanaliwa vichwa
 
Kwenye vita hakuna hivyo vikao vya kuchagua mrithi. Ni sawa tu na muislamu kula nguruwe Kwa dharura ya kukosa mboga jangwani.
 
Ayatollah Alishauawa na majeshi ya Israel
Kinachofanyika ni system kuficha kuogopa nchi kupinduliwa .

Yuko peponi anajilia mabikira 72

Aliuawa siku alipouawa mkuu wa majeshi mpya
Lete ushahidi
 
Israel miaka 20 kajipanga kupigana na Iran kanunua mawaziri. Wakuu wa majeshi kule Iran katengeneza viwanda chini ya ardhi kwa kusaidiwa na wa Israel wenye asili za Iran. Iran kupoteza viongozi Kama hao kwa nchi miaka 20 ilipanga kupigana na Iran ni kawaida sana. Sioni hapo ajabu ya kumsifia Israel kwa ujinga alio fanya miaka 20 anapewa infomation anawatu walienda mpaa kuzipiga Air Defence system ili ndege zake zipige Iran leo anapigwa na 🇮🇷 Kama mtoto hahaha.
 
Umeandika nini?! Mbona una haraka sana!?
 
Muda wake wa Kufa upo mikononi mwa Israel kila sehemu anakoenda wanapajua
 
🇮🇷 Breaking — The office of His Eminence Imam Khamenei (H) has denied the recent news published by The New York Times concerning his successor, labeling the reports as fabricated and false.

🔹@enemywatch
 
Huyu Jamaa kumbe ana akili sana,kamuacha mwanae ili aendelee kula mema ya nchi maana angemuweka kwenye list angepelekwa Kwa bikra kabla ya Baba ake
 
Ayatollah Alishauawa na majeshi ya Israel
Kinachofanyika ni system kuficha kuogopa nchi kupinduliwa .

Yuko peponi anajilia mabikira 72

Aliuawa siku alipouawa mkuu wa majeshi mpya
Duuh nishapitwa kumbe, mkuu wa majeshi mpya alishauawa kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…