Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa kimenuka tena mgomo waendelea

Migomo ya vyuo ya siku hizi haina tija kwa taifa. Kila ukisikia mgomo, ni kudai hela. Hata siku moja hawagomi kushinikiza mabadiliko katika taifa, kama ilivyokuwa zamani.
 

Kwani Prof Mushi si kuku anaeatamia kama wa chuo fulani mpaka aondolewe?
 


....aisee...kumbe disss kwa Wachaga zinazotupwa hapa JF ni za ukweelii....
 
Hata mie ni mwanafunz lakin kwa hapo kwenye gar ya polisi tena for CRDB guards wamechemsha saana Mkwawa na inawapasa kujutia kitakachofuata kwao.
Nataman wachukuliwe hatua kali sana kwani polisi si bodi ya mikopo wala si administrators wao.
 
Wanafunzi wa
Chuo cha Mkwawa wafunga njia
maeneo hayo wakidai pesa zao
(Boom) vurugu zinaendelea na
wamempiga FFU mmoja mpaka muda
huu taarifa inakuja hapa studio za radio free afrika hali ilikuwa si nzuri.
 
Wanafunzi wanataka Boom. Wabunge wanataka Posho. Rais anataka Safari zaidi. Sijawasikia wanaotaka kuongeza Uzalishaji.
 
kweli wapo eneo la garden hapa wanawazomea ffu kwa kuwaimbiadarasa la saba haoooooooooooooooooooooooooooooooooo subirin mijipicha wadau wawaleteee
 
....anything too much is harmful!!!

Aisee we ulitakiwa ugombee ubunge wa Afrika Mashariki! lol!
Wanachuo hawakutumia busara kwa kitendo cha kuwaadhibu askari.Ila njaa ya haki nayo ikizidi unaweza kufanya kitendo utakachokijutia baadae. Nchi hii inakwenda wapi jamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…