Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
hii ni stress free Zone hapakufai nenda hukoooo mkajadili Siasa uchwara za kung'oana kucha na meno!Moderator tafadharini sana tunaomba mfute hii Topic ya kijinga kabisa.*NOTEJF sio mahali pa mchezo mchezo, hapa ni Home of Great Thinkers hata kama ni jukwaa la chit chat.
Moderator tafadharini sana tunaomba mfute hii Topic ya kijinga kabisa.
*NOTE
JF sio mahali pa mchezo mchezo, hapa ni Home of Great Thinkers hata kama ni jukwaa la chit chat.
Leo tarehe Moko...
Naona lisemwalo lipo hii sikukuu imetimia sàsa after 10 years ila chama tawala ndo kina helakwa taarifa zaidi tune ITV