#BREAKING NEWS#Dr SLAA ahamia CCM

#BREAKING NEWS#Dr SLAA ahamia CCM

Moderator tafadharini sana tunaomba mfute hii Topic ya kijinga kabisa.

*NOTE
JF sio mahali pa mchezo mchezo, hapa ni Home of Great Thinkers hata kama ni jukwaa la chit chat.
 
Moderator tafadharini sana tunaomba mfute hii Topic ya kijinga kabisa.*NOTEJF sio mahali pa mchezo mchezo, hapa ni Home of Great Thinkers hata kama ni jukwaa la chit chat.
hii ni stress free Zone hapakufai nenda hukoooo mkajadili Siasa uchwara za kung'oana kucha na meno!
 
Na mimi namfuata. Hahahahahaha, leo ni tarehe 1/4
 
Na mimi namfuata. Hahahahahaha, leo ni tarehe 1/4... Full fools day
 
Wengine wameishaanza kupaniki, leo tarehe 1/4 jamani..
 
kumbe wenye sikukuu yenu naona mmeichangamkia! haya poleni
 
Dr.akihamia ccm,basi nape nnauye naye atahamia chadema leoleo huko aliko.au vp mode???
 
Back
Top Bottom