Breaking News: Hatimaye Rais wa TFF Jamal Emily Malinzi ameondoa jina na kukubali yaishe Urais TFF

Watanzania ni wakurupukaji na wasahaulifu sana
Huwezi amini kama hawa ndio walimkataa nyamlani na kumpigania malinzi
 
Afadhali labda taifa stars itakuja kubeba kikombe walau kimoja coz toka yupo huko mahabusu timu inafanya vyema alhamdulillah tumeingia nusu fainal kule south .......mungu ambariki kwa maamuzi yake
Dah nimecheka sana leo toka yuko mahabusu stars wanapeta sina mbavu
 
Wamemtumbua kiaina.
Figisufigisu yote ilikua inamtaka yeye
 
Apigwe nondo za maana. Niliumia sana vijana walivyo tuwakilisha vyema Gabon then kawapiga hela? Ina vunja ari kwa vijana wetu. Naskia hata dogo alie umia kapata tabu sana huko Dom kutibiwa. Ni mzazi gani ataruhusu mwanae tena kwa upuuzi huu wa Malinzi? Apigweeeeeeeeeeeeee in Gwajima' s voice.
 
Nafikiri tunakosea sana kwamba huyu bwana yupo ndani kwa sababu ya kugombea urais wa TFF. Jamaa amefanikiwa kujenga picha nzuri kuwa kesi yake ni ya kisiasa hivyo hapa hata historia itakuwa upande wake kuwa niliundiwa zengwe kwa sababu za kisiasa. Mfano ni Ruge 2005.
 
maji yamezidi unga. kaa mbali na watoto. hivi wakat wa kampeni za uchaguzi 2015 kama vile aliendaga kumsalimia-----------. Au hii ndo inayomgharimu?
mhn! napata kapicha ila negative nafikiri wadau wataweka ushahidi unachosema muda si mrefu ngoja wafanyie kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…