Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimecheka sana leo toka yuko mahabusu stars wanapeta sina mbavuAfadhali labda taifa stars itakuja kubeba kikombe walau kimoja coz toka yupo huko mahabusu timu inafanya vyema alhamdulillah tumeingia nusu fainal kule south .......mungu ambariki kwa maamuzi yake
Ndio mkuu alikua anatuzibia rizik[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah nimecheka sana leo toka yuko mahabusu stars wanapeta sina mbavu
Akagombee Chura Fc Manji si naye alijiuzulu?Malinzi ndiye rais huku-huko segerea
Akagombee Chura Fc Manji si naye alijiuzulu?
mhn! napata kapicha ila negative nafikiri wadau wataweka ushahidi unachosema muda si mrefu ngoja wafanyie kazi.maji yamezidi unga. kaa mbali na watoto. hivi wakat wa kampeni za uchaguzi 2015 kama vile aliendaga kumsalimia-----------. Au hii ndo inayomgharimu?
Taarifa hii imekanushwa vibaya sana .Wow...Good news..Afadhali hata amejitoa
Kweli mkuu, nimesikia Leo aisee..Hizi sarakasi zinazoendelea TFF balaaTaarifa hii imekanushwa vibaya sana .