Marehemu Albert Mangwea Ngwair alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.
Habari zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wake. hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu Daktari amenukuliwa.
Drug Abuse walijidunga juz usiku jana walikua warud lakn mpaka saa2 asubuh walikua hawajatoka ndan ndo jamaa ambae yuko kule Hamis mbena wakaenda kuwapitia ili wawapeleke Airport kuingia akakutwa M2the P anagalagala Ngwear hatikisik ndo wakapelekwa Hospital Ngwear kafa saa nane mchana saa za south afrika huku saa kumi jion...
hawa jamaa wamekuwaje?...mbona itokee at per?..
Marehemu Albert Mangwea Ngwair alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.
Habari zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wake. hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu Daktari amenukuliwa.
m2 the p ananyaka flag hii natambaa na chaki narusha fataki fi fikiri kabla ya kutenda mwanangu we ukitaka DeN!)@ nyukwa lakini Ba!(VN!)V P@.NVAAmepona huyo M2The-P?