Breaking news kuhusu kifo cha ngwea/ lingine lililotufikia hivi punde kuusu m2-the-p

Breaking news kuhusu kifo cha ngwea/ lingine lililotufikia hivi punde kuusu m2-the-p

Dah! Inasikitishaaaa!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Taarifa:
Kama una ndugu yako anakwambia anaenda South Africa na siyo kimasomo na wala si mfanyabiashara halali na wala si Employed official kwa sasa South Africa kwa Watanzania hakuna ajira zaidi ya ujambazi na kuuza unga, usishangae ndugu yako akirudi kwenye coffin.

Naijuwa South Africa vyema huwezi kuwa na saving kwa kazi za vibaruwa utakuwa unatwanga maji kwenye kinu, na hata ukiwa msomi nchi yao hawatoi ajila za kisomi kwa wageni unless hakuna raia mwenye kuweza kujaza nafasi hiyo.
 
ngwair.jpg

Marehemu Albert Mangwea “Ngwair” alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.

Habari zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wake. “hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu” – Daktari amenukuliwa.

Ngwair2.jpg
 
Drug Abuse walijidunga juz usiku jana walikua warud lakn mpaka saa2 asubuh walikua hawajatoka ndan ndo jamaa ambae yuko kule Hamis mbena wakaenda kuwapitia ili wawapeleke Airport kuingia akakutwa M2the P anagalagala Ngwear hatikisik ndo wakapelekwa Hospital Ngwear kafa saa nane mchana saa za south afrika huku saa kumi jion...

Tanzania inapisha saa moja tu na Afrika Kusini!
 
ngwair.jpg

Marehemu Albert Mangwea “Ngwair” alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.

Habari zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wake. “hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu” – Daktari amenukuliwa.

RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIARAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom