Siku wa ndondocha dunianiHabari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL!
Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoa ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa
watasema ni Artemis 2, trip to the moon orbitLeo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi...
Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪
- Mshana Jr
- duniani siku wajinga
- Replies: 22
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mkuu tofautisha kati ya 'uongo' na 'ujinga'!Leo ni Aprili Mosi, siku ya wajinga duniani. Tuwe makini 😂
Hata mie walitaka kunipata - Eti Raisi Samia akutana na 16 alioshindana nao uraisi! Ndio nikakumbuka kuwa hakuna hata mmoja alieshindana nae uraisi, nikambuka leo ni 1 April🤣🤣Leo ni Aprili Mosi, siku ya wajinga duniani. Tuwe makini 😂