Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Yanga ni timu kali kwasasa kwa kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla hivyo derby ya jumamosi Yanga ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa Simba ina hofu na tayari mnyama kaelekea kibla tayari kwa kuchinjwa na kuliwa supu.
Yanga imeifunga Simba mechi nne mfululizo na kuwalaza mashabiki wa simba na viatu, hivyo ushindi jumamosi hii ni haki yetu
kinachopaswa kufanyika ili Yanga ishinde derby hii ya jumamosi ni Yanga kuiheshimu Simba kama timu kubwa na kucheza kitimu, kushambulia kwa nguvu mwanzo mwisho, kuhakikisha Camara haanzishi mpira nyuma, kuwakabia juu kwa dkk tisini, kuhakikikisha hawana utulivu wa kupasiana kwa dakika zote za mchezo, mabeki kutowakwatua washambuliaji wa simba kwenye penati box wakizidiwa na kupitwa wamwachie Diarra afanye mambo yake wala wasipige kiatu kwa nyuma na kuvuta jezi maana red card na penati vitatuhusu.
Wachezaji wa Yanga wanapaswa kuweka mbele maslahi ya timu na si maslahi binafsi maana kuna tabia baadhi ya wachezaji wetu wanayo kutaka kulazimisha kufunga kwenye derby ili wasifiwe hata pale ambapo nafasi ya kufunga ni finyu huku wachezaji wengine wa Yanga walio katika box kuwa na nafasi nzuri ya kufunga.
Yanga itashinda iwapo itacheza kitimu na kila mchezaji kukaba kwa nguvu na kuweka nia ya kutoa assist tatu na si kufunga, assist tano goli tano au khamsa. Mimi nitakuja uwanjani kuhesabu assists tu na si magoli maana najua assists zikiwa nyingi magoli ya Yanga yatakuwa mengi kama mvua!
Tunapenda wachezaji wa Yanga wajue sisi mashabiki tunachotaka ni ushindi tu wa Yanga ili kujihakikishia kubeba tena kombe letu la NBC premier league, hatutajali mchezaji gani amefunga na tutasifu timu nzima kwa ushindi na si mchezaji atakaefunga.
Tunataka intensity ya Ramovic ionekane Simba wasikae na mpira zaidi ya sekunde mbili wanyang'anywe ball! Uwezo huo Yanga tunao! Hadi half time tuwe mbele kwa magoli mawili kwa bila. Kila mchezaji akabe mwanzo mwisho maana hii derby ndio fainali ya ligi hii.
Jumamosi hii mashabiki wa Yanga hatutaki kosakosa tunataka umakini wa kulenga lango na kufunga makolo magoli mengi bila huruma.
Mashabiki tunataka double hat trick za Mzize na Dube kila mmoja aondoke na mpira na uwezo huo wanao! Watuoneshe jumamosi.
Nani kama Yanga?
Yanga 6 - Simba 0
Yanga bingwa.