Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

  • Thread starter Thread starter GY
  • Start date Start date
Big up mkubwa! it was a long walk for Mshiki on which you could have chosen to wait and let Mshiki walk alone; instead you decided to walk that walk majestically with her mpaka mlipouona utimilifu wa dahari............hata Eliza wa kijiwe chetu lazima atakununulia National park moja.
 
Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin

God is great

We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl

Its a lovely day for JF

Hongera kuu toka kwa Big Braza ODM aka BABU wa wajukuu...

Waungwana nisaidieni kuhusu hii dhana kuwa eti mainfii lazima wapate first born wa jinsia ya kike. Kuna ukweli wowote ndani yake?

Nauliza tu huku nikiendelea kupana Wai Po hapa kujipongeza. Sababu nyingine ya kusheherekea na kunywa bia kwenye: Ubatizo, Komunyo ya Kwanza, Kipaimara, Gradyuesheni, MAHARI, Kitchen Party(Tukiwapeleka mai waifu wetu huko, huwa tunawasubiria baa),Send off party .....na....harusi ofkozi.

Weldone Dogo Teamo.
 
ha ha ha we piga kasensa kadogo tu hapa JF jibu unalo!!
 
may be..... si wanachakachua sana mpaka zina nanihiii xYz sinakosa speed!
 
I said it mtoto wa kike duh kumbe naweza kuwa sheikh pearl!hongereni sana
 

Babuuuuuu......TAYARI WAMEKWISHAAANZA
 
Hongera Teamo and family..
 
Waungwana nisaidieni kuhusu hii dhana kuwa eti mainfii lazima wapate first born wa jinsia ya kike. Kuna ukweli wowote ndani yake?

Mainfii hapa inasimama kama?
Je hii inaapply kwa mainfii wa kike pia?
 
Hongera kwa Teamo na wife...hako kabinti mungu awajaalie kukalea kwa upendo na awaruzuku vya kutosha vya halali.....
 
Hongera sana Binamu ..Salam kwa mama na mtoto
Mungu yu mwema siku zote
 
Hongereni sana for the new baby gal!
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe!

Tunawaombea afya njema, Mtoto, Mama na Baba!

Hommie andaa zizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…