Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

  • Thread starter Thread starter GY
  • Start date Start date
Hongera Teamo and family.....
Mungu awajalie malezi mema to the new born...
Ila sasa sijui mtamuepusha vipi na hizi issues za infi ukizingatia baba ni 'The King'

Tumekubaliana kimsingi kuwe na mahusiano ya dhati kabisa kati ya familia zetu.....
 
haya haya!.....
naomba kila mtu akaangalie post yake kama amewekewa thenks........!
nina mzuka wa kutoa thenks
 
haya haya!.....
naomba kila mtu akaangalie post yake kama amewekewa thenks........!
nina mzuka wa kutoa thenks

pitisha round ya pili,au zimeisha ?:teeth:
 
haya haya!.....
naomba kila mtu akaangalie post yake kama amewekewa thenks........!
nina mzuka wa kutoa thenks

.........can't bilivu dhisi.....ze lasiti pesoni tu nou? hommiiiiiiiiiii...iligimilo siwipata kaaaaaaaa!
 
Teamo and wifey....hongereni sana, MUNGU na wakuzie. Karibuni kwenye club ya parents.
 
haya haya!.....
naomba kila mtu akaangalie post yake kama amewekewa thenks........!
nina mzuka wa kutoa thenks

The Following User Says Thank You to BABA GLORY For ThANKING EVERYONE:

GY (Today)​
 
amen amen
mwanampya haleluyaaaaaaaaaaaaaaa!!!!1
teamo njoo unisababishie na mie nipate mtoto jaman..mie natakamapacha lakin......M HAPY FOR U!!!!!
 
Hongereni Mr & Mrs Teamo, Mungu amlinde mtoto na magonjwa yote yatajwayo kwa watoto kwa majina yao, sijui Surua, malaria nk,
Amlinde na hila za adui, akue ktk kumjua Mungu akimpendeza Mungu na wanadamu.

Aongezeke na akue kwa haraka na awe mwenye afya bora siku zote.

Mtori kwa wingi kwa mama apate maziwa ya kutosha, usimpe China Product.
 
ON BEHALF OF MY HUSBAND AND I WE WOULD LIKE TO SAY THANK YOU TO ALL JF MEMBERS! MBARIKIWE SN NIMEJIFUNGUA SALAMA MIMI NA MWANANGU TUNAENDELEA VEMA KABISA!
MLANGO UKO WAZI KUJA KUMUONA BABY GAL!:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth:
 
Back
Top Bottom