Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

  • Thread starter Thread starter GY
  • Start date Start date
Asprin
Gy
Teamo
Bigirita
St. RR
Ba Enock
etc oroza ni ndfu kwakweli

Hii dhana ina ukweli ndani yake aisee.....
Ndo maana mi niko na tuvulana pekee....
 
afya ya mtoto, mama na baba ni nzuri kabisa. hongereni familia
 
sasa wapwa na mabinamuz............mpango mzima ni huu hapa!
The Finest: kijana wa Logistics, hebu facilitate hili zoezi!
 
Attachments

  • mbuzi.jpeg
    12.6 KB · Views: 25
sasa wapwa na mabinamuz............mpango mzima ni huu hapa!
The Finest: kijana wa Logistics, hebu facilitate hili zoezi!
Mnaweza kufanya delay tactics hapa?
 
Hongereni sana wapendwa wazazi wa G, Roho mtakatifu awaongoze katika malezi yake, akue kwa kimo na hekima!

Teamo tafadhali, anza kufikiria unavyowafatakisha akina eliza and change your ways, wewe ni baba sasa! All the best
 
hongereni Mungu awajalie mama na mtoto afye njema
 
ha ha ha we piga kasensa kadogo tu hapa JF jibu unalo!!

Naomba nianze na wewe hommie......leta status ya uzao wako tafazali. wa kwanza?

Asprin
Gy
Teamo
Bigirita
St. RR
Ba Enock
etc oroza ni ndfu kwakweli

may be..... si wanachakachua sana mpaka zina nanihiii xYz sinakosa speed!

Babuuuuuu......TAYARI WAMEKWISHAAANZA

Mainfii hapa inasimama kama?
Je hii inaapply kwa mainfii wa kike pia?

Jiandae KUPOKEA MAHARI.... Hongera Baba Glory!!!

Utawajua kwa matendo na maneno yao............:teeth::teeth::teeth:
 
Babu, habari za chiang chong? Yaani ushaanza kuwaza namna ya kukabizisha kinanihino cha ze Gift? Ngoja nipige bajeti ya Matesha kwanza
 
St. RR... Salama? Jana uliingia church?

Infact nilitaka nikuletee ile zaka yangu...basi sista gabriella kaniwahi na kusema ulikua likizo......alikupa ile zaka? Sikuchukua hata risiti ujue...
 
Utawajua kwa matendo na maneno yao............:teeth::teeth::teeth:

Umezeeka sana we babu siku izi...nimeuliza inamaana Dena nae akizaa mtoto anakuwa wa kike, maana now she is on tha making kama infii wakwanza wa kike kujitokeza hadharani
 
Babu, habari za chiang chong? Yaani ushaanza kuwaza namna ya kukabizisha kinanihino cha ze Gift? Ngoja nipige bajeti ya Matesha kwanza

Aisee wewee............ mwone kwanza. Ndo maana huwa sikumisi.
 
Umezeeka sana we babu siku izi...nimeuliza inamaana Dena nae akizaa mtoto anakuwa wa kike, maana now she is on tha making kama infii wakwanza wa kike kujitokeza hadharani

Aisee unajua hapo umefanya age calling? Jichagulie adhabu!
 
raha kweli kweli....kuitwa mama ni kitu kitamu cjapata kuona maishani.... hongereni sana.
 
Hongera kijana, karibu kwenye majukumu mzee
 
Babu, habari za chiang chong? Yaani ushaanza kuwaza namna ya kukabizisha kinanihino cha ze Gift? Ngoja nipige bajeti ya Matesha kwanza

hahaaa baba askofu habari sako mwenyezi mungu wabariki baba na mama g mbariki na umkuze mtoto g bariki maziwa atakayonyonya, chakula atakachokula na akifika umri wa kwenda shule akawe kichwa na c mkia umfunike kwa damu yako iliyomwagika msalabani kumuepusha na mabaya yote. Amen
 
Dah.... kama kweli wazee wa infii wanatanguliza videmu ndani ya nyumba basi mie lazma mlokole aisee... maana huto tu-mwenelehi twangu tudume aisee

Ngoja niwaandae kwa zoezi la ukubwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…